naomba kuuliza jf mimi naishi shinyanga vijijini nataka ninunue king,amuzi sasa king,amuzi gani ni kizuri kitanifaa ila kiwe kina kamata emanueli tv pia kiwe cha kulipia bei rahisi sana.
Kakobe kauzuia umeme wa KV 32 usipite kutoka UBUNGO kuelekea MAKUMBUSHO.
Umeme ukiwashwa Ubungo huflow hadi nguzo moja jirani na kanisa la Kakoba na baada ya hapo hauendelei ku flow, je ni...
Ndg,wanajamvi.
naombeni maujuzi ya kuunganisha Blackberry z10 na android,maana nimesoma kwenye update zake kuwa version 10.2 ina uwezo huo.
cc.Young Master,chief-Mkwawa ctc
Kiukweli hizi fani zinanisumbua.
Kuna Electrical engineering kivyake, vilevile kuna Electronics Engineering, pia ipo nyingine combined (ELECTRICAL & ELECTRONICS ENGINEERING)
Shida ni kwamba...
Wakuu ni browser ipi kali kwa speed mnayotumia kwenye computer zenu, maana nimejaribu browsers nyingi lakini now napata karaha ya kufungua baadhi ya websites kama Jamii forums na nyingine zenye...
Visitprofit.com - Scam or Legit?
If you've landed on this page, you probably must have gotten a link from your friend or family on social networks like facebook, claiming that you can earn money...
Jamani naomba msaada kuhusu menu ya crdb najaribu kuingiza namba hizi ili nipate menu ya crdb lkn majibu yanayokuja ni tofauti na mahitaji yangu nikiingiza *150*03# ili nipate menu inaleta maelezo...
Wakuu naomba msaada,natumia Samsung s4,phone memory ilikuwa inasoma free memory ni 12gb nilidownload app tatu hivi zenye jumla ya 45mb,nashangaa zimebaki 3.4GB ntu,ninashaka sim yangu imepata...
natumia cm ya android, na nimeinstall mobogenie kwa ajili ya kupata apps, kinachoniudhi kuhusu hii kitu ina automatic shorticut creation muda wote ukiifungua... hata kama shorticut ipo yenyew...
Je kuna yeyote aliyefanikiwa kununua bidhaa yoyote kupitia mtandao huu? Je ni salama? Mpaka kupata bidhaa yako ni mchakato wa siku ngapi? Naomba uzoefu wako.
Nina Simu Yangu ni Samsung GT S55701 Shida ni Kuwa Ina External Memory ya 8GB na Iko Tupu Wakati Internal Imejaa Sasa Ninapojaribu Kuhamishia Kwenye External App Zinagoma Nifanyeje?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.