Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Kuna Tetesi tangu mwezi March kwamba Apple wanaweza kueka Itunes store on Android Divices ! Na hii inatokana na Music sales kwenye Itune store Kushuka kwa kasi ! Report from billbroad Apple...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hello, get to know how the CLOUD TECHNOLOGY is by visiting this Link below: http://www.cybersecuritywarning.com/let.php?sorsz=1222134354;17610610;;;8. If you will be interested please sign up...
0 Reactions
0 Replies
768 Views
Wadau naomba mwongozo wenu, Ile system ya NIDA isingeweza kuwa pamoja na hii ya NEC? If the answer is yes why do we have to loss all these scarce resources? When a centralized national database...
0 Reactions
0 Replies
558 Views
NIMEFANYA Installation ya Ms 2010 ila inadai Activation id, ila wakati nafanya hiyo installation ilitaka CD keys nikaweka na ikakubali. sasa haifanyi kazi yoyote inayohusika na ms word package...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ni lap top aina ya Dell inspiron. HDD 800 CORE i 5 Ram 6 Processor 2.5 Screen inch. 17 Bei 700000 there is room for discount.. If you are interested call 0754224104 Niko Dar.
0 Reactions
1 Replies
800 Views
Hellow wana jf! Nahitaji HDD ya Desktop 500Gb sata kwa ajili ya ku install windows.Mwenye nayo anichek nipo Dsm.0716-844978
0 Reactions
2 Replies
698 Views
Bento Box Kinda Like Voltron Bento is quite an exceptional and forward thinking concept by René Woo-Ram Lee. It’s quite a plausible scenario that most of use/own a tablet, a...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
wanjamvi naomba kuuliza kati ya hizo kama uzi unavosema ip bora, ipi ina speed nzuri kuliko nyinngine.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Inawezekana wengi wetu tungependa kujifunza audio production na kuwa full producers au hata beat makers lakini hatujui wapi kwa kuanzia.Mimi ningependa kukushauri cha kwanza kuchagua software...
2 Reactions
6 Replies
4K Views
Chonde chonde jamani naombeni wadau kwa yeyote mwenye hyo software tajwa hapo juu!!!!!!! naomba anisaidie ambayo ni full vision, craked, au yenye keys nmekuja hapa kwa sababu nme_search google na...
0 Reactions
0 Replies
860 Views
Nimeona effect mpya adobe wameieka kwenye photoshop CC 2014
0 Reactions
1 Replies
841 Views
Heshima kwenu, naomba msaada wa kufix laptop yangu Toshiba ukiiwasha inadisplay one of ur disk needs consistancy na ukiendelea inasema chkdsk verrifying msaada please
0 Reactions
0 Replies
618 Views
Habari zenu wakuu, naomba msaada kwenye hili swala maana nimekwama. Nataka kuwa nikituma au nikitumiwa email basi blind copy iende kwa mtu fulani. Yaani mfano wewe ukinitumia email basi iende kwa...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
natumia simu ya nokia lumia 920....kwa yeyote aliyewahi kufanikiwa naomba tujuzane alifanyaje
0 Reactions
2 Replies
1K Views
helo wadau hii huawei y300 android phone yangu nikipiga simu au nikipigiwa siwezi kuitouch kukata simu touch haifanyi kazi kabisa hadi nibonyeze power button pia hata screen ikiturn off pia touch...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba msaada kwenye Tecno P3 android 2.3 imenigomea kufungua whatsap kila nikijaribu naambiwa nidownload new version imeoneshwa hapa ila kila nikijaribu haikubali Nisaidieni wataalamu
0 Reactions
0 Replies
493 Views
Amaizing facebook is down
0 Reactions
25 Replies
2K Views
1. iPod Touch 4G (4th Generation) 8GB on sale for 250,000 2. HTC One S on sale for 400,000. I'm my own consultant.
0 Reactions
4 Replies
933 Views
Habari wadau! Naomba msaada wenu: nataka kuuziwa vitu vifuatavyo: ID Printer Camera (Id) Na ile machine ya ku-capture signature (hata sijui inaitwaje) Kama unavyo ama unajua vinakopatikana...
0 Reactions
1 Replies
803 Views
Nimetumiwa na tv tajwa hapo juukutoka Japan lkn pamoja kuunganisha ving'amuzi aina zote naishia kupata sauti tu bila picha. Mwenye ujuzi ktk mambo haya anisaidie.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom