Natumia android smartphone, Tecno P5, Android version 4.2.2, naomben msaada kwa anayefahamu kutumia droidvpn, troid au hata sandroid kwa mitandao ya tz., mana kila nnapoulizwa 'port #' hata...
Mimi natumia simu.ya Huawei Y300 inanisumbua kwamba naweza kuongea na mtu sekunde35 baada yahapo nakuwa sikilizani na mtu wa upande wa pili nimejaribu kuongea na huduma kwa mteja bila mafanikio...
Kwa hii software ya pc Remote ytaweza-
----kucontroll mouse ya pc yako kwa kutumia simu yako
----kutumia keyboard ya pc yako kwa kutumia simu uako
----kutumia simu kucontrolls media players kama...
Salam wanajamvi,
Naombeni msaada wenu juu ya hili.
Nahitaji kujua kama kuna mtandao wowote ambao unatoa "unlimited internet with a FAST speed without limitation after amount of data usage".
Kwa...
Habari wanajukwaa, kichwa cha habari hapo juu cha husika, nina laptop aina ya dell lat. D630 ina switch ya wireless (wi fi na bluetooth) lakini software zake hazipo. Msaada tafadhali namna ya...
wadau, nimepitia thread kadha wa kadha kwenye hili jukwaa zinazohusu IDM na nimefanya kama maelezo yanavyosema kwenye kuinstall, lakini nikidownload inaniambia idm is registered with fake serial...
Nina simu aina ya nokia N8 inatatizo kwenye camera inaniandikia hivi " Unexpected error occurred, please restart the camera or phone." Nimerestart simu tatizo limebaki lile lile. Naitaji msaada...
Wakuu,
Nimenunua sim card ya smart (mtandao mpya) ili nifaidi bundles zao ila cha kushangaza inasoma kwenye simu zote kasoro TECNO.
Nimmejaribu kuwacheck ila hawana majibu yanayoeleweka kila mtu...
habari zenu wana jf ,husika na kichwa cha habari hapo juu natafuta tablet ya android ya ku buy iwe used au new vyovyote naombeni msaada bei yoyote chini ya laki 5
:smiling:
jamani wakuu nimeachiwa Dish dogo la Gold star sijui ni futi ngapi ila ninalizidi kidogo la zuku sasa nimepewa na receiver ya G.TV ivi kweli inaweza kufanya kazi ya kukamata hata channel za aina...
Ndugu wanajf, nina printer za ofisi ambazo ni hp laserjet 1280 na hp deskjet 4350
nilimpa jamaa mmoja kazi ya kuweka program fulani katika pc za ofisi cha ajabu aliformat zile computer na driver...
In a world where the average person checks his social network notifications for at least once per 24 hours, it wont be too much to say that social networks means do much in our lives.
In this...
HELLO!
ni matumaini yangu mmekuwa na wakati mzuri wajumbe wa jf,ni bahati mbaya simu yangu imejilock hivyo basi natafuta fundi atayekua wa msaada katika eneo hilo,ninaishi Dar es salaam,hivyo...
wakuu habari za week end! ninatumia king'amuzi cha azam lakini kila nikitaka kusikiliza radio nakutana na maneno NO RADIO PROGRAM,nifanye nini ili nami niweze kusikiliza radio?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.