Guys, naomba msaada wenu. Mwenye uelewa wa namna ku download series naomba anielekeze tafadhari. Jana nimenunua CD ya jack Bobwer Live another Day mwendelezo wa 24 hours, cha ajabu ilikuwa na...
Salaam wakuu!
Nimekuwa mtumoaji wa airtel internet kwa muda mrefu ambapo natumia huduma ya jirushe tarrif ambapo huwa napata muda wa maongezi na MB /GB za wiki kwa au mwezi kwa smartphone yangu...
Nikiweka moderm inaconnect vizuri lakini sipati internet pamoja na kuunstail na kuinatail upya hali ni ileile hata nikibadilisha moderm tatizo ni hilo hilo naomba msaada wadau.
English:
Fee collection and management is one of the critical processes of a
school.
Easy-School- School Fees Management System - a complete school Fees
management software- that stores all...
Wakuu eeh,mi nina shida moja kubwa,whatsapp yng kila baada ya mwezi mmoja inaexpire,so inanibidi niidownload upya,kitendo hki huwa kinanikera sana wakuu,naombeni msaada kama kuna uwezekano...
Windows 8 was very different from Windows 7, but change is only speeding up Windows 8.1 has seen quite a few changes since Windows 8. Youll have new things to learn, whichever which version of...
Wakuu nawezaje kuangalia Dstv kupitia pc yangu,nina connection ya internate kwa masaa 24.Kwa yeyote mwenye kufahamu tafadhali atujilishe kwa faida ya wengi.
natumai hamujambo nilikuwa naomba kueleweshwa juu ya kutia windows tofauti kwenye extarnal hard drive. wakati unataka kutia windows kwenye pc yako na ukawa unataka kutia kwa kupitia extarnal yako...
Ikiwa kuna mtu au watu wanakusumbua kwa kukutumia msgs au kukupigia simu za kukukera basi watu wa aina hiyo unaweza kuwazuia, yaani unawa-BLOCK.
Unaanza na Settings kisha Phone, ukibinya hiyo...
Najua kuna wengi watasema ni google kuona specifications za simu hizo. Lakini naomba kujua kutokana na experience za watu waliokwisha zitumia simu hizi ili name ninunuapo niwe najua kutoka kwa...
Wadau nahitaji msaada namna ya kuondoa error ya E 16 kwa DSTV. Nimelipia muda si mrefu ila bado sijapata service. Najua kuna namna ya kutuma msg kwenda namba fulani ambayo nimeisahau. Mwenye kujua...
Nilikuwa natumia modem ya Airtel kwa muda wa kama miezi mitatu kwenye Laptop yangu vizuri tu, cha kushangaza kwa sasa kila nikiiweka kwenye PC yangu haisomi, wala setup hairun, naombeni maujuzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.