Can you imagine that how a farmer has invented a way to turn old suitcases into motorcycles. There are some questions that came into my mind; can I still use that suitcase to put my luggage and...
Yaani ni shida tupu toka juzi jumamosi yaani nina kihela changu kipo kwenye M-PESA toka jumamosi siwezi kukitoa yaani utadhani nipo kwenye foleni ATM ya NMB.
Voda tusaidieni jamani tunateseka sana!
wakati mwingine kabla hamjafanya maamuzi ya kununua simu muwe mnafikiria pia swala la radiation likoje na je simu ninayokwenda kununua ina kiwango gani cha radiation.
rahisi ya ghali simu yenye...
Tuna miezi takriban miwili tu kufikia kwenye tukio kubwa na la muhimu kabisa ambalo wapenzi wengi iPhone huwa wanalisubiria kila mwaka, the release of a new iPhone! habari zilizovuja kwenye...
Habari wana jf
Naomba msaada, Tv niliiwasha asubuhi ikawaka na nilipoizima na kuwasha tena ikawa ndo mwisho wa kuwaka, kwa anayefahamu tatizo naomba msaada.
Habari jf
Naomba msaada kwa anayejua tatizo hili.Hiyo simu haijai naicharge siku nzima inanesha kuingia lakini haijai.Mwanzo nilijua tatizo betri nikanunua nyingine lakini tatizo liko...
Habar wadau. Hapo mwanzo kabla mfumo wa digital haujafanywa kuwa rasmi nilikua natumia Tv tuner kwenye computer yangu nakupata channel za television kama mtu mwenye Tv, ila tangu imekuja digital...
Wakuu nina simu aina ya pantech cross over toka At&t ilikuwa inafanya kazi vizuri tu ila kuanzia jana imeanza kufreeze yaani ukiwasha inatokea ile logo ya pantech afu inaganda hapo haiendelei hata...
Tuna tumia simu zetu kufanya vitu vingi sana kucheza games, kutuma na kupokea e-mails, kununua vitu, kupiga picha, kurekodi video na hata kupiga simu (ndio bado watu wanafanya hivyo). Sasa bila...
Wadau,
Napenda kujuzwa kama message za whatsapp zinakuwa traced na zawezwa kuwa printed na hawa jamaa, Najua BBM haziwezi kuwa traced na kuwaprinted. lakini hizi za whatsapp ikoje?
Ahsanten
Wakuu, kwenye wallpost ya gamba mahiri Mwigulu Madilu ameweka bandiko kuwa kama kuna mtu anaweza kutengeneza mobile application ya ussd inayoweza kuaccess mitandao yote, am in box.
Vijana mahiri...
Ufungaji wa king'amuzi sio kaz,cha kuzingatia inatakiwa utege dish katika mazingira haya:Unatakiwa ulielekeze dish upande wa magharibi na katika upande wa juu chini ni vyema ukaseti kwa no.60...
Habari wadau naomba msaada wenu.Natumia Windows 8 Pro na niliinstall program moja ya Android theme ambayo bahati mbaya ni ya Windows 7.Baada ya kuiweka Metro yenye Applications imepotea na kuna...
Natanguliza shukrani wakuu. Nina computer yangu aina ya Dell kwanzia jana najaribu kuwasha inagoma screen inakuwa black yote na inaleta ujumbe kwa maandishi meupe kwamba 1. AUTO DETECT ENTERING...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.