Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
jaman kwa mwenye uzoefu na hz flat screen vp za singsung zko pouwah kwa matumiz ya geto maana rumous znasema n bomu zle....sasa na me me nataka nkanunue..............
0 Reactions
12 Replies
11K Views
NATANGULIZA SALAMU KWENU WAKUU. pc yangu inakabiliwa na changamoto ni window 7 lakini theme yake imekuwa blank(black) page na inaonesha kuwa sio genuine tafadhali naomba msaada na kuelekezwa...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Salaam Wana Jamvi! Naomba msaada katika hili. Kila nikijaribu ku - upload picha kutoka katika desktop kwenda katika post zangu, mara nyingi picha hizo uonekana kuwa ndogo hivyo kupelekea...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
nataka kuuziwa s3 lakini haiingii tigopesa ..je kuna jinsi ya kurekebisha hilo tatizo? natanguliza shukran
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Natarajia kwenda kijijini hivi karibuni, na ningependa niendelee kupata habari za JF kupitia Internet ya simu. Hivyo naomba ushauri ninunue smartphone aina gani ambayo inakaa na chaji kwa muda...
0 Reactions
29 Replies
5K Views
Kuna kipindi kila nikipigiwa simu kama siko online anapokea mtu mwingine ambaye simjui .Nilidhani huenda kukawa na line mbili zenye namba kama yangu kumbe siyo nili callfowarding namba nisiyo...
1 Reactions
23 Replies
10K Views
Wakuu,habari za huko Brazil mlipo kwa sasa. Pamoja na hilo,naombeni msaada wenu katika hili,nina file nataka kubadilisha toka word kwenda PDF lakini sina converter na nimejaribu kudownload kila...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za wiki end wadau, naomba kusaidiwa suluhisho la ku-disconnect kwa modem mara kwa mara pindi napotumia Pd-proxy, je inaweza ikawa ni tatizo la aina ya modem ama settings za pdproxy ?.
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Naombeni msaada wa kubadilisha meego os ya nokia n9 kuwa android. Kama inawezekana naomba niambiwa ni wapi au ni nani anaweza kunisaidia(nipewe contacts zake).
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Muda mchache uliopita kampuni ya Samsung wamezindua flagship tableti yao mpya kwenye familia ya Galaxy tab. Ambapo kuanzia leo tarehe 13 juni watu wataweza kuiagiza kabla haijaanza kuuzwa madukani...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari wakuu!?.. Naomba kujuzwa elimu na utaalam pia mahitaji na mchanganuo wa kuunda email za kibiashara zinazokua katika muundo wa mfano huu;- sales@pistolgang.com / info@pistolgang.com...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Salam nyingi kwenu wadau, kama kichwa cha thread kinavyojieleza. Natumia modem ya Tigo-Model: E 153u-1. Modem hii niliichakachua na kuanza kuitumia mitandao yote yapata mwaka sasa, tangu juzi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
KILA NIKIFUNGUA NAPATA HI MESSAGE "Your payments are currently on hold because you have not verified your address. Click here to verify your address once you have received your PIN in the...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
leo nimesoma gazet la mwananchi la tar. 11 june,nimekutana na habari ya cm ya x & xl zinapatikana office za AIRTEL TZ,kwa bei ya sh.300,000/= kwa xl na 250,000 kwa nokia x.ni taarifa tu...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimechimba kisima cha biashara sema maji yake yana magadi na arufu ya udongo na wateja wangu wanataka maji baridi(matamu) sasa nataka kuweka dawa ya kuondoa hayo magadi na arufu Nitumie dawa gani!!?
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Kuna mtu anataka kuniuzia hiyo simu, Naomba kufahamishwa kuhusu kukaa na chaji? maana kuna sehemu nimeona hili Iphone is good phone.But battery is too bad.It can hold 3 hours.Touch is...
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Mwenyekutumia star times ya dish anipe elimu kidogo hapa: King'amuzi wanauza bei gani ikiwa "complete" yaani decoder, dish na vifaa vyake vingine bila ufundi? Na zipo local channels ngapi na ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nisaidie ku-crack password ya document hii, ni mhimu sana, nimeisahau kwa bahati mbaya. Idownload hapo kwenye attachment. Barikiwa sana.
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakuu. Naomba unisaidie kuchagua internet package ipi ni bora. Manake sasa hivi natumia switchon lakini imepungua speed saana. Sijui kwanini. Nimechoka kabisa.
0 Reactions
2 Replies
939 Views
Toka juzi laptop inanisumbua kuunga net kwa modem....maelezo inayonipa"A connection to the remote computer could not be established,so the port used for this connection was closed"msaada kutatua...
0 Reactions
0 Replies
742 Views
Back
Top Bottom