Habarini ndug zangu wa Jamii Forums . Laptop yangu ni Toshiba C660 Inasumbua sana mpak inachosha ni mwez umepita nlipodownload Mozilla firefox latest nkafanya istallation vzr . Muda wa kuitumia...
Habari zenu wanajamvi, natumai muu wazima bukheri wa afya.
Kama nilivyoorodhesha hapo juu nimekuja kwenu kuomba kujuzwa sehemu nitapoweza kupata short course nilizoziorodhesha hapo kwenye title...
Ndugu zangu nimekuwa nikitumiwa matangazo mengi ya biashara kwenye email yangu kutoka kwa makampuni ya biashara, watu binafsi nisio wajua.Kumbuka sijawah kujiunga nataasisi hizo wawe wananitumia...
Simu yangu ya Samsung gallaxy Picket 6301 baada ya ku download sana mafaili ilianza kuwa nzito.
jamaa yangu akanishauri niifanyie restoring ili nianze kuweka upya application,lkn sasa baada ya...
Dar to become 5th wireless internet city in #Africa
Dar es Salaam, Tanzania will anytime soon become the fourth city in East Africa to launch zones of free internet services, with
the government...
Habari zenu wana jukwaa,
Mwenzenu nina shida, Betri ya Laptop yangu Dell Studio imekufa, hivyo naomba msaada wa mahali ninapoweza kuinunua, kwa sababu nimehangaika kwenye maduka ya Kariakoo...
Wadau nina omba msaada wa kitaalam,nina miliki simu tajwa hapo juu,lkn cha kushangaza inasoma EDGE tu..mwanzo nilifikiri ni sababu ya eneo nililopo lkn niliposafiri ktk mikoa mingine hali ilikuwa...
Habari zenu ndugu,
leo nimewaletea Final version ya 6.19 ya Internet Download Manager ambayo utaidownload hapa
Baada ya kudownload utaextract .zip file ya IDM ambayo utaiextract kwa WinRar/7-zip...
Habari zenu wanajamvi,poleni na kazi.
Nimebook tablet aina ya AJO Jumbo 11 tablet katika kampuni ya kaymu, naomba msaada wa specification za tab hiyo kama yupo anaeijua,pia usalama wa pesa yangu...
Habari wadau,
sTRAIGHT to the point...
Tigo kuna loop hole ya free internet...
Piga *148*00# >> chagua vifurushi vya internet 5 >> chagua Smart PACK 2>> THEN chagua ANDROID 2..then accept...
habar jf,simu yang imedondoka jana na ikapasuka touch,gharama ya lumia 620 touchscreen ni bei gan kwa hapa dar,nimeuliza coz si mzoefu ktk tech. ahsante
Turing Test Bested, Robot Overlords Creep Closer to Assuming ControlIn a landmark moment for artificial intelligence, a computer has for the first time passed the Turing Test, a question posed...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.