Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
One of the major highlights of the ongoing WWDC is iOS 8, the latest iteration of Apple's iOS that will power the current and next-gen iDevices. Though the software will be rolled out via Beta...
2 Reactions
0 Replies
811 Views
habari zenu wakuu...nilikuwa nafikiria kuleta Playstation 2 & 3 huku bongo na kuziuza huku kwa bei nafuu...Vipi naweza kupata wadau wa kununua?
0 Reactions
74 Replies
23K Views
Wakuu ninaomba Masada. Ninatumia Lumia 920 window phone. Nimekuwa nikitumia simu kushare internet kwa WIFI na kupata internet kwenye laptop. Last week Simu ili-corrupt. Nikaipeleka midi com waka...
0 Reactions
2 Replies
923 Views
Wakuu nimeona tuanzishe Mada ili tuone ni kiasi gani kinahitajika ili kuanza kutumia umeme wa solar:- Equipments solar panels changing controller (kuhakikisha battery haiwi overcharged) battery...
8 Reactions
58 Replies
33K Views
CIA yajiunga na mitandao ya twitter na facebook Siku ya jana mamlaka ya intelijensia ya marekani, CIA imejiunga na mitandao ya Facebook pamoja na Twitter. Hata hivyo...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari wataalamu wa I.T? Naomba kujuzwa jinsi ya kuunda location yako iwe inaonekana kwenye google map, mfano wa picha hapa chini. Ni hayo tu, nina kajiofisi nataka kawe kanaonekana kama hawa...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Waungwana habarini ya jumapili Kwa wale waluteri natafuta apps ya liturugia na zile nyimbo za tumwimbe bwana kitabu kipya.natanguliza shukrani
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Poleni na majukumu wakuu Nina tablet yangu charger yake iliharibika nikanunua nyingine na kuendelea km kawaida , lakini sasa baada ya kuitumia kwa muda mrefu(2 months) saiv inachaji kwa muda...
0 Reactions
0 Replies
715 Views
Need your feedback ppo..( https://www.dropbox.com/s/wh5yf2coyt3yk0q/Swahili.apk)
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wana JF, Naomba msaada ktk shida yangu hii, ni kwamba kama wiki moja hivi laptop ya ofisi ikiwa na docs za ofisi ilipata shida ktk windows yake, na kwa bahati mbaya haikuwa...
2 Reactions
29 Replies
4K Views
naombeni msaada nilikuwa natumia browser operamini kwenye simu ya huawei G610, lakini iligoma theni ikatoka, naomba mwenye kunipa link niweze kuipata niendlee kupata habari, au kama kuna Google...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
naomben msaada wenu kuhusu hy simu kwenye kudownload application na video. najaribu kudownload app mbali mbali bt smtyme ninaambiwa insufcience memry while natumia sd card yeny free space more...
0 Reactions
2 Replies
994 Views
Za leo ndugu wapendwa, Jamani mimi ni mpenzi wa kusikiliza redio za home maana huku nilipo tunasikilizia kupitia internet! Sasa nimekuwa nikisikiliza sana clouds ila inacho ni boa ni hayo...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Jamani nimetafuta jf application kwa ajili ya window phone kwenye store ya window phone but sikufanikiwa,je jf apps inapatikana kwa ajili ya window phone? Plz help wth even a link to download! Thanx
0 Reactions
11 Replies
2K Views
nimekuwa nikihangaika kwa muda mrefu sana, ku activate Internet Sharing kwenye my Nokia Lumia, na ilikuwa ikigoma kwa muda mrefu sana, nikajaribu kutumia njia mbalimbali ikiwa ni pamoja na ku...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Oh, no. Russia is mad at us again. Russian Deputy Prime Minister Dmitry Rogozin has vowed to punish the U.S. for imposing sanctions over his nation's invasion of Crimea. After being included on...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naombeni mnijulishe ni hatua gani muhimu za kufuata jinsi ya kutengeneza website?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habar wanaJF..! msaada namna ya kutoa write protection kwenye flash
0 Reactions
15 Replies
11K Views
Jaman wa JF Naomba Msaada wa maelekezo ya kitaalum Hindi ya kuroot sim yangu.
0 Reactions
0 Replies
580 Views
​Naleta kwenu kwa msaada zaidi...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Back
Top Bottom