Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Naombeni msaada wadau
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari Nauza inverter 500W ya China 100,000/=negotiable price 0789 780 200 TMK~DSM
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Vipi hivi nokia lumia ubora wake upo kwenye nini??? Je betri yake inadumu?? Je net yake ipo vipi, je ipo slow ama faster??
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Wakuu kwa anaeweza update samsang galaxy s2 with android 4.1.2 to kitkat 4.4.2 naomba anijuze
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wanadau nina iphone 5 toka marekani lakini inatatizo la kupoteza network kwani inandika no service.naomba msaada jinsi ya kukwamua ile tatizo
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wanabodi Msaada kwa mtu mwenye kujua apps ambayo inahusika na kutoa notes kwa mfumo wa pdf au kama ilivyo biblia, kwa fani ya uhasibu na managements. Nitashukuru sana. Ahsante
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari wadau, Nimehangaika sana kutafuta hii cable bila mafanikio,yoyote aliyenayo au anayejua inapouzwa naomba anisadie.
0 Reactions
0 Replies
944 Views
wataalamu, nimefungua akaunti paypal. nikijaribu ku link VISA card yangu ya CRDB na pay pal inagoma, ujumbe unokuja ni kwamba, natakiwa billing address and street address zi match. nimekwenda CRDB...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Kwa anayeweza kufungua iphone 5 iliyo fungwa na icloud ani pm
0 Reactions
0 Replies
578 Views
Helo, nani amewai kutumia whatsapp plus, je iko poa na inaingiliana na old version ya whatsapp
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Jamani ndugu wa humu ndani mko poa,nahitaji msaada wa link(s) wa software wa kudownload simu manake na simu yangu hapa(nokia e7) ni ya kuflash mafundi wananizingua tu,nimejaribu download Advance...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wadau msaada tafadhali. nahitaji ku instal BLUESTACK kwenye laptop yng aina ya acer aspire one.,kila nikiiweka inaniambia graphic driver zangu zipo outdated lakin hata nikiziupdate pia inaleta the...
0 Reactions
0 Replies
680 Views
Apple took the wraps off iOS 8 during today’s WWDC keynote. The latest OS release brings a host of new features and improvements, headed by the ability to closely interact with the freshly...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari zenu wana Jf.. ni simu ipi ya bei rahisi kama Tsh150,000/= yenye camera nzuri ( uwezo wa kutoa picha safi na nzuri) asanteni
0 Reactions
45 Replies
13K Views
Ukitazama biashara nyingi za kati au ndogo zina kitu kimoja zinafanana, nyingi hazina tovuti au website zinazotoa maelezo ya kutosha juu ya huduma, bidhaa au eneo zinakofanya kazi. Iwe ni hapa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nilifikilia kuunda kifaa hiki baada ya kwenda siku moja ktk ATM na kutoa pesa nikapokea ujumbe katika simu yangu ikinitaarifu muda na kiasi kilicho tolewa katka akaunti yangu,na kusisitiza kama si...
17 Reactions
43 Replies
10K Views
Simu tajwa hapo juu inastuck kila baada ya dak kadhaa adi nizime na kuwasha ndo ina fanya kaz nimejaribu kuifanyia factory reset lakini bado ina freez hovyo tu.yeyote mwenye idea nifanye nin...
0 Reactions
5 Replies
878 Views
(Last edited by Mwl. RCT 27th August 2013) Much of the content nowadays can be easily acquired and obtained from the ever popular torrent search engine such as Pirate Bay due to its large...
3 Reactions
4 Replies
14K Views
Is there anyone outthere who knows a good program for masking/hiding ip addresses? Could u plz help me?
0 Reactions
4 Replies
976 Views
Napenda kufahamu km kuna ulazima wa kuinstall antivirus kwenye samsung s4.
0 Reactions
3 Replies
791 Views
Back
Top Bottom