Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
naomc msbda juu ya ku unlock simu hii, maana imekuwa blocked kwa kuweka security code
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Hamjambo wanaJF!! Naomba msaada. Nina Tecno Phantom A+ ambayo ni rooted. Nawezaje kuifanya SD Card ikafanya kazi ya RAM? Ni 32 GB. Natanguliza Shukurani.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wadau nani anajua hii kitu?. Nataka nipate maujanja ya kutuma nyimbo zilizo kwenye simu yangu kwa kutumia watsapp... Sent from my iPhone using JamiiForums app
0 Reactions
1 Replies
5K Views
The Road Where Cars Roll Uphill Discovery Channel 3:04 mins There is a road in...
0 Reactions
1 Replies
683 Views
Habari za kazi wana jamvi. Kwa utangulizi tu napenda niwajulishe kwamba field ninayoizungumzia hapa ni Table Field, na version ya database ninayoifanyia kazi ni Office 2010 (file format...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Apple is set to release iPhone 6, its latest update to the iPhone juggernaut, in the fall. While iPhone 6 sales are expected to be huge for various reasons, there is a broader question facing...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
nina facebook page yangu , hata nitupia post vipi like zinaongezeka kidogo sana inafika kipindi ninikata tamaa kwani ina mwaka mmoja sasa ila ni like mia tano tu
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari. Naomba kufuhamishwa juu ya haya magari used yanayouzwa japan na kwengineko hasa yenye bei za chini sana kama USD 100 na kuendelea, je ubora wake upoje? kodi yake ukiagiza inakuwaje...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hellow katika pita pita zangu nimekumbana na hii web ya kudownload mp3, aisee ni nouma any mp3 unapata, icheckini kisha mtoe maoni yenu. Mp3Jerk
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari za zenu wakuu, Tafadhali mwenye kujua jinsi ya kuview contact zote kwenye HTC anielekeze. Manake kuna namba nyingi za watu nishasevu bt nikitaka kuwapigia sizioni kwenye phone book, ila...
0 Reactions
2 Replies
876 Views
Ni Software rahisi sana kutumia (Hauitaji kusoma Accounts wala Computer). Inajumuisha mambo yote ya Accounts pamoja na Inventory, Payroll. Pia ina-support Multi-Branch, Multi-Currency. na mambo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
simu za touch zinapendwa sana hasa na kina mama hapo zamani simu hizi za touch zilitengenezewa na vijiti special maarufu kama touch stick bila hivyo vijiti usingeweza kutumia simu kwa maana...
4 Reactions
97 Replies
16K Views
Nimekua nikitumia internet kupitia cable,wireless na MODEM. Siku tatu zilizo pita nimeshindwa kutumia internet kupitia cable ila wireless inafanya kazi kama kawaida. Naomba msaada anayeweza...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Shalom, Nina redio aina ya Sony, mafundi kadhaa wamenieleza imekufa kadi inayo control ''USB na mlango wa CD'' hivyo haisomi flash na deck haifunguki. Mafundi wanasema radio ni ya kisasa spea zake...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hizi simu zinapromotiwa sana sahivi,nasikia nazo zinatumia Android OS,kwa aliyetumia or anayeijua zaidi vipi umeionaje?(Ubora,Uwezo wa battery,Internet Speed,etc)
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau naomba msaada kwa waliowahi kutumia na wanaotumia tecno M3. Sielewi kwa nin siku hizi sim yang ina drain charge faster kiliko kawaida. Afu matumizi yang n yaleyale.
0 Reactions
2 Replies
859 Views
Kuna simu nilinunu aliexpress tarehe 6 mwezi huu nikalipia na shipping kabisa $53 DHL wakisema itafika kuanzia siku 4-8. Baada ya siku kama tano nikawasiliana na seller akaniambia ametuma mzigo...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
andika link hii Free Internet Radio - Discover Artists Online Music - HulkShare hiyooo link ni balaaaa legooooooo!!!!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba msaada wenu Wakuu na Wataalam wa Simu za mkononi. Camera ya nyuma ya simu yangu Tecno P3 haifanyi kazi (haionyeshi hata kidogo) isipokuwa camera ya mbele tu ndio inayofanya kazi. Naomba...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom