Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Nimekaa na kufikiria sana toka tech-ya line 1 ambayo inasadikika kuwa orijino baadae line mbili (mchina) mpaka line 3 na kuendelea lakin na mapinduzi yote hayo bado simu za kisasa kabisa aina ya...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wakuu msaada tangu juzi nkiwasha pc yangu inawaka taa ya njano (standby) afu mlio flan kwa mbali siuelewi nin cha kufanya kabla kuchek na mafundi
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa wale watumiaji wa TTCL Broadband, nimekuwa nikijaribu ku login kwenye akaunti yangu ili nione ni kiasi gani cha bandwidth ambacho nimetumia mpaka sasa lakini kila nikijaribu kufanya...
0 Reactions
10 Replies
13K Views
wakuu hivi hawa paypal wakisema confirmation code wanaituma wapi au mpaka niende huko.crdb ???
0 Reactions
4 Replies
870 Views
samsung Z. chanzo: samsung Hapo jana kampuni ya Samsung imezindua simu ya kwanza duniani inayotumia mfumo wa uendeshaji wa Tizen badala ya Android kama ilivyozoeleka. Samsung Z yenye uwezo...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
habari wanajanvi,natafuta iyo touch ya HTC kwan yang haifanyi kazi mkanda wake umekatika,ivyo kwa mwenyenayo naomba ntumie namba yako tufanye bihashara,au kama unajua mahali zilipo basi naomba...
0 Reactions
1 Replies
666 Views
wakuu natumia nokia asha 201.nifanye nini ili niweze kusoma files ambazo ni pdf?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau kuna mtu anatumia nbc kwenye pay pal nimekuwa refunded pesa yangu ila sioni kama kuna mtu imewahi kumkuta hii hali anisaidie alifanyaje?? Sent from my iPhone 5 using JamiiForums
0 Reactions
2 Replies
917 Views
Naomba msaada, nimenunua laptop ya toshiba satelite pro u500-EZ1321, shida ni kuwa siwezi kuaccess web cam direct , kama ilivyo kwenye oc nd laptop zingine So nitafurahi kwa msaada wenu
0 Reactions
6 Replies
1K Views
habari wadau, kwa wale wenye ujuzi na mambo ya IT, naomba kufundishwa namna ya ku'unlock modem ya safaricom niliyokuwa nikiitumia mombasa kenya now nipo home kilwa, maeneo niliyopo kuna network ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wasalamu!!! Naombeni kwa mwenye ufaham na hio application ya android na IOS niliyoitaja hapo juu,inatumikaje,uzuri wake na hasara zake Asanten sana.
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari JF, Well mimi ni mteja wa ttcl internet broadband. All i can say nimelipa package ya unlimited ya 3 months for my home use.....ni week ya 3 sasa sijapata internet ya kueleweka from these...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu nataka kununua gari online nimeiona na nimeipenda toyota kluger 2002 sasa naomba wazoefu mnijulishe process hadi itakapo nifikia arusha kuna process gani za kufuata pamoja na swala zima la...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
wakuu nilikuwa nataka kujua series ya launch x 431 ipi inaanza na ipi ni latest ya mwisho kabisa na wametengeneza mwaka gani je katika series zote ipi ww unaikubali ni bora zaidi ikiwezekana na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
40000tsh
0 Reactions
0 Replies
634 Views
Wana great thinkers..naomba mnieleweshe. Mahali ninapoishi ni karibu kabisa...kama hatua 400 hivi kutoka kwenye mnara wa mawasiliani mtandao wa kampuni fulani. Nilitegemea kwa uelewa wangu kuwa...
0 Reactions
3 Replies
954 Views
habar wandugu.. Samahan kama nitakua nimekosea kuiname hiyo simu.. hii simu jamani nikirecord video baadae nikizitafuta sizioni kabisa..nimeenda mafaili yoote sizioni ila picha naziona..anaejua...
0 Reactions
4 Replies
934 Views
Habari wana jf nataka kujua kutoka kwa mtu yoyote anaejua kua katika nchi yetu kuna uwekezaji wowote uliofanywa juu ya teknolojia walizo nazo baadhi ya watanzania?iwe ya kuiba(kucopy)au ya mtu...
0 Reactions
0 Replies
837 Views
Wana JF wenzangu ninaombeni mnisaidie code za ku-unlock huawei yangu ambayo ilikuwa inatumia chip ya airtel,lakini kwa sasa naona kama airtel inasumbua sana kwa huku nilipo.Naitaji nitumie laini...
0 Reactions
1 Replies
926 Views
Habar wadau..naomba kujua jinsi gan ntazirudisha channel kwenye list yake, king'amuzi changu kmepoteza baadhi ya channel kama clouds tv na tv 1, nmejarbu kusearch ila znarudi zlezle tu. Naomben msaada
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Back
Top Bottom