Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wandugu naombeni msaada wa jinsi ya ku install watsapp kwenye simu tajwa.Nimejaribu kuinstall kupitia wazapp lakini inafeli kuactivate kwani ninaambiwa kuwa hiyo version ya wazap imepitwa na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu nisaidieni kwa mwenye maujanja. Nilikuwa natumia tapatalk kufungulia JF. Ghafla haiwezekani na inaleta msg forum inrestrict au plugin haifanyi kazi. Iphone yangu ni 3gs.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Samsung's Galaxy S5 has sold very well, however, the Korean-tech manufacturer has noticed a significant dip in orders for Q3 2014: a 25% cut. This is hardly good news for Samsung, as many...
0 Reactions
0 Replies
666 Views
LG Electronics (LGE) has today launched its “Mosquito Away” residential air conditioner model in the Kenyan market.The ACs which are specifically designed for the local market incorporates a...
0 Reactions
0 Replies
728 Views
Natumia whatsapp kwenye blackberry 9800 na nashukuru ni watu wa mwanzo kujiunga na whatsapp kwahiyo muda wangu majaribio whatsapp kwangu nilipewa miaka miwili,sasa mwezi July namaliza muda wa...
0 Reactions
27 Replies
6K Views
The General ShortcutsWe’ll kickoff the list with some really general shortcuts that you often used. CTRL+C (Copy) CTRL+X (Cut) CTRL+V (Paste) CTRL+Z (Undo) Delete (Delete) Shift+Delete (Delete...
4 Reactions
21 Replies
5K Views
Natumia simu tajwa hapo juu lakini napata tatizo kwenye kudownload hata nyimbo tu kwani ikiload kidogo inaskip, naombeni msaada wajameni kwa yeyote anayenua tatizo
0 Reactions
0 Replies
796 Views
habari za jioni waungwana..nimenunua pc mpya aina ya TOSHIBA..ila hailkubali kila nikijaribu kuweka window; inaandika NO BOOTABLE DEVICE--PLEASE RESTART SYSTEM,pia nimewapa baadhi ya watalam...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naomba msaada ni jinsi gain naweza unganisha CCTV cameras kutoka kwenye majengo tano tofauti yawe yana display kwenye monitor Moja?
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Natumia simu tajwa hapo juu lakini napata tatizo kwenye kudownload hata nyimbo tu kwani ikiload kidogo inaskip, naombeni msaada wajameni kwa yeyote anayenua tatizo
0 Reactions
0 Replies
841 Views
Kwanini ubaniwe mkuu! Cha msingi usichakachue, Hakuna wa kukubaniaaa... Embu bonyeza uangalie vile switch ON ukitumia haitokibania. http://bit.ly/switchON In this world nothing is certain...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
habari nzuri kwa wote wanaotaka kucustomize ama kubadilisha picha za dashboard zao sasa imekua rahisi kwa steps zifuatazo 1.fungua program files 2.ingia directory ya mobile partner yako binafsi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wanaJF, leo nimeamua kuuliza baada ya siku kama mbili zilizopita kujiunga full makamuzi na kupata huduma kwa muda kisha huduma inasitishwa. Nilijiunga kwa smart phone, afu nafanya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wana JF, Ni ebay seller gani ambaye yupo reliable? yaani ukinunua items kwake kama phones, tablets hata aki ship kwa USPS zinafika? last time niliagiza tablet leo ni mwezi watatu sijapata kitu ila...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Natafuta display ya Xperia Z
0 Reactions
0 Replies
510 Views
Jamani nilikuwa naomba msaada kwa yeyote anayejua download link ya unlocked apk 1.3.4 ya FIFA 14 .....
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Baada ya Chief mkwawa kutuwekea uzi unaoelezea smartphones zenye bei nafuu, nilishawishika kununua moto g japo haikutajwa kwenye orodha lakini nayo aliielezea pia. Leo katika katika pitapita...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wa jf. Pole na shughuli za jumapili. Me na wazo naomba mchango wenu wa mawazo. Hv kama kukiwa na group la techno la jamii forum on what's app ambapo tutaweza kuwa updated on time on techno...
0 Reactions
3 Replies
647 Views
Habari wakuu. Naomba msaada jinsi ku update profile na kuedit details zangu humu jamvini kwa kutumia simu. Mfano nataka kubadilisha location na Job yangu. Naomba kuwasilisha ahsanteni.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
natafuta display + digitizer ya nokia lumia 820.1 , ata used as longer as inafanya kazi . mimi napatikana Arusha >> itakua vyema mkiweka bei
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom