Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wana bodi kamini hp kangu kamedondoka ikaweka doa nusu ya kioo ila inafanya kazi,msaada namna ya kutengeneza au kama spare mwenye nayo tuongee biashara nipate kioo
1 Reactions
2 Replies
1K Views
wakuu mwenye uelewa na hiyo kitu hapo juu msaada wake tafadhali
0 Reactions
7 Replies
2K Views
I'VE BEEN USING THIS METHOD 4 LONG NOW 2 DEAL WITH MTN. All u need is an MTN #100 or #200 Card. Pls don't use above or they may discover. Just Go 2 ur message menu & type a message in this...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Naomba kujulishwa kwa anayefahamu haya mambo,Mimi ninatumia dish la kawaida kupata local channel,ITV,STAR TV,TBC,CHANNEL TEN,Je ikizimwa mitambo ya Analogia nitaendelea kupata matangazo ya channel...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwa sasa ninatumia Ubuntu ila naitaji kufahamu jamii nyingine za ios. kwa faida yangu na wengine tusio jua
0 Reactions
2 Replies
752 Views
Wakuu naomba kujua toleo hili ubora wake kwa waliotumia- effectiveness in all aspects-and if possible year of first release
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Eti ile ndege inayopita juu sana na kuacha moshi wa mchirizi inaitwaje? Kuna watu wanasema inaitwa rocket! Ni kweli? Je kwa hapa Africa inatua wapi, nchi gani? Mwenye ufahamu anijuze tafadhali.
1 Reactions
16 Replies
9K Views
Wana jf msaada plz jinsi ya ku install whatsapp kwa nokia Asha 200 kuna uzi niliuona humu unahusu hii kitu lakin najaribu kwangu inashindwa nipo mbez mwisho
0 Reactions
0 Replies
790 Views
Naombeni mnisaidie. Nina huawei y320 mpya ila haikubali internet kabisa. Nimewapigia Voda wakasema haiwezi unganishwa automaticall ila akanielekeza jinsi ya kuweka manually Settings--Mobile...
0 Reactions
1 Replies
947 Views
Wakuu wa tech naomba mwenye kuweza kunisaidia jinsi ya kupata drivers za cm hii ya Vodafone Smart mini please anisaidie maana nimejaribu kuzidownload wapi..naimba msaada
0 Reactions
0 Replies
679 Views
msaada jinsi ya kuinstall bluestack na nokia software update kwny pc ya window 8 coz nkzdownload hazifiki mwsho
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wakuu/ msaada kwa anae fahamu upatikanaji wa firmware za simu za kichina hususani hii samsung trend tg-s7568i​
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nahitaji msaada namna ya kupost attachment ya either documents au picture nafanyaje waungwana??
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hellow wana jf wadau wa hili jukwaa, nina simu hapa ilikua na pattern kuna mtu alichezea hakua anajua patterns so now imeji block n it need google acc iliokua inatumika na paswed na vyote vpo...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
salute wakuu! naomba msaada wa namna ya kuondoa virus kwenye simu. Simu yangu inatoa alert kuwa na virus 13, lakini sijui namna ya kuscan. Simu yangu ni sumsung duos, please help. Natanguliza shukrani
0 Reactions
8 Replies
5K Views
  • Closed
Kwa masikitiko na furaha kubwa pia natangazia rasmi kujitoa katika biashara zote za decoder za kichina na biashara zote za internet kama pdproxy pamoja na biashara zote za kuuza account kama...
0 Reactions
49 Replies
9K Views
waungwana msaada mwenye uwelewa juu ya kuiroot cm hii maana inanipa kero kila wakat sms ya warning (low space delete sam files to free space)
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu nisaidieni,nimenunua Nissan Navara kwa mtu,nimeendesha kidogo tu taa ya Disel Pariculate Filter(DFP) inawaka na gari linakosa nguvu kabisa.Mwenye kujua wataalam wa kuitoa hiyo taa kwa...
0 Reactions
0 Replies
487 Views
Wanduguz nisaidieni nina Kilaptop kile kidogo kisicho na CD Room aina ya Samsung kina window 7 ambayo ishakuwa attacked na virus km milioni hivi, Sasa kila nikijaribu Kuboot kwa kutumia external...
0 Reactions
1 Replies
973 Views
Naona leo kuingia kwenye menu *149*01# nimekutana na hiii cheka zogo,...ambayo utaweza kupata dakika za kupiga voda -voda tsh 495- dakika 30/saa 24 tsh 645 dakika 45/saa 24 tsh 995 dakika...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Back
Top Bottom