Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Je unajua kwamba kuna apps nyingine za mawasiliano zaidi ya whatsapp? Hzi hapa chini ni baadhi tu ya apps zinazopatikana mtandaoni. 1. Telegram Kwa simu za android, iphone na hata windows. Hii...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hivi nani anaweza elezea jinsi gani app ya shazam inavyofanya kazi. Inawezeje sikiliza mziki na kutambua ni mziki gani maana imenistaajabisha sana
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa wanaojua hii simu mnasemaje? Je inafaa kuinunua? Bei yake ipo vp?
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Naombeni Msaada jinsi ya kutumia hii App.Cjawahi kuitumia na cjui inatumikaje. mwenye anajua jinsi gani nitaweza kudownload movie au app yoyoke kutoka torrent anielekeze tafadhar
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Salamu wana JF. Mini natumia simu ya Tecno P5. Naomba mwenye kufahamu application ambayo itaniwezesha kung'amua majina ya wenye simu simu wanaonipigia ambao sijawaandika majina yao kwenye simu...
0 Reactions
13 Replies
7K Views
nimeingia market yao lakini nimekuta hakuna app ya whatz up naombeni msahada jinsi ya kuinstore iyo app natanguliza shukrani cc, chief mkwawa
0 Reactions
5 Replies
1K Views
From Gmail, click on Settings, and go to the Labs tab. Scroll down until you see “Text Messaging (SMS) in Chat” and select Enable. Also enable the “SMS in Chat gadget” and then...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Hi!! Jaman haka katecno kangu P5 nikafanyeje ili kaweze kusupport whatsap plus???? Kama ku-uninstall ile orignal whtsp..nshafanya then nktaka ku-install ss hii plus kanaandka ''×App not...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
habari za majukumu. kuna mtu kanipa s3 min clone ila tatizo nikiweka sim card inaleta ujumbe Restricted access changed na haiwezi kupiga wala kuangalia balance pia inagoma internet ila...
0 Reactions
1 Replies
918 Views
WAKUU HILI TATIZO LIMEANZA BAADA YA KUWEKA WINDOW UPYA, NI WIN 7 PROFF. NIKIPLAY MUVI KATIKA MEDIA YOYOTE INAONESHA MISTALI FULANI KWA MBALI (EDGES)HIVYO PICHA HAIPO CLEAR. Nimejaribu ku update...
0 Reactions
0 Replies
654 Views
Nairudia topic hii jamani tatizo bado linasumbua. Maelezo zaidi yapo katika lugha ya kiingereza hapa china na picha. My iPhone 3gs had been working for the first 18 months I've had it (since...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Habari za leo ndugu wadau wa Jamii forum. Naomba kufahamu uimara wa gari aina ya Nissan X trail kwa matumizi ya kila siku mfano nchini Tanzania . Mfano kwa matumizi ya kila siku hapa Dar es...
0 Reactions
11 Replies
13K Views
I have problem with my lab that when i connect and configure the ASA5510 and core Cisco 3560 switch to each other,as diagram in attachment file, and these device can access internet properly, but...
0 Reactions
2 Replies
905 Views
Habari wadau,.. Natumia simu aina ya Nokia E-71,. Nahitaji msaada wenu ni namna gani nitapata kujiunga na Instagram,. Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu wadau,.
0 Reactions
9 Replies
13K Views
0 Reactions
3 Replies
1K Views
kwa watumiaji na wale ambao mshawai tumiawindows 8 na 8.1 hivi hii window ina kitu gani cha ziada maana naona watu wanaipa sifa sana ,karibuni mjadala wakuu
0 Reactions
29 Replies
5K Views
hivi tecno phantom A inauwezo wa kutoa picha nzuri nyakati za mchana na ucku kama samsung au iphone
0 Reactions
0 Replies
718 Views
ipi ni bora zaidi wadau nataka nikanunue moja wapo
0 Reactions
32 Replies
5K Views
Wanabodi Nina printer aina ya hp 1018 ambayo nikiprint page ninayotaka huwa inaprint page ambayo mimi sijaprint, huwa inajirudi mara kwa mara.nimeambatanisha aina ya page ambayo huwa inajiprint...
0 Reactions
0 Replies
646 Views
Jamani, Naombeni msaada namna ya kufungua document ya word yenye password.
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Back
Top Bottom