Mobile Hack Tricks
Call Forging:
To call someone from their own number or any number.
1. Go to http://www.mobivox.com and register there for free account.
2. During...
Wanabodi
Naomba njia ya kufanya Ram yangu iwe na space nzuri maana naona kama nafasi ni ndogo kama inavyoonekana picha. Je tatizo hili halifanyi simu kuwa nzito?
Ahsante.
The Asian common toad may have hopped a ride in a shipping container to get to Madagascar
Cane toad cull held in Australia
Sausage solution to toad invasion
Tourism hope for threatened lemurs...
Wana JF naomba kwa anayefahamu namna ya kubadili cheti ambayo nimeiscan kwenye Computer kuwa pdf document na kupunguza size kuwa chini ya 2.016MB.
Kwani kuna mwanangu namwombea nafasi ya mafunzo...
Wakuu heshima mbele naombeni msaada wenu kuna mtu ameingilia account yangu facebook na ameanza kunichafua kwa kupost vitu vya kitapeli amebadilisha na password yangu hivyo siwezi kuingia tena, vp...
kwa wale wote wafanya biashara wadogo na wakubwa. wanafunzi kutoka THE STATE UNIVERSITY OF ZANZIBAR (SUZA)
wamo katika hatua ya mwisho kutengeneza app ya simu za android kuwarahishia wafanya...
Apple kuinunua Beats
Kampuni kubwa ya teknolojia Apple imethibitisha kwamba itanunua vipokea sauti na huduma ya kusikiliza muziki kupitia kwenye mtandao wa inteneti kutoka kampuni ya Beats...
jamani wana fta wenzangu,kwa hili msaaada wenu tafadhali,nataka ninunue offset dish ya EUROSTAR 120cm kwa 135cm na BLACK ULTRA high gain ku band 0.2 dbw HD DVB-S2 mpeg 4,kwa ajili ya kupata...
Hallo Wajameni. Kama kuna Mtu alinunua hiyo router hapo Juu kutoka Smile na Akaamua kuitupa Darini.
Naomba kumpatia taarifa kuwa, kama bado iko kwenye Hali Nzuri, nnaihitaji hiyo Router kwa...
waungwana kuna system naiweka sawa lakini nimefeli jinsi ya kupata hii library com.cubepro.util.SendMessage nataka kuitumia kufanya Automatic port Detaction msaada tafadhali au hata kama unajua...
Wakuu naomba nijue kuhusu hawa voda, je ukitumia mpaka gb ngapi ndipo speed inapungua?
Jumapili nilijiunga na kifiruahi cha wiki, nikatunia siku moja tu speep ikaanza kuwa ya kobe...leo nimeunga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.