Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Hallo Wana JF. Mimi nnatimia receiver ya Qsat 13G. Quality ya Picha nnayoipata ni Mbovu kupitiliza nikilinganisha hata na kisimbuzi cha Azam. Nimeload pia Account ya DQIPTV kwa ajili ya Channels...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
mh... mi siwaamini hawa watu
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Wanajamvi habari! Kwa niaba ya Kampuni yangu ya Mwangili Electronics Solution(MES),tutaendesha mafunzo ya muda mfupi ya kielectronics. Mafunzo haya ni kwa ajiri ya Wataalamu na...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Nimekwama jaman wanajamvi naomba msaada wa product key za window 8 pro.nawakisha
0 Reactions
2 Replies
982 Views
Kwa wale wanaohangaika ku-root simu zao za tecno na zinginezo. basi application hii hapa inaitwa kingo, ni rahisi sana kutumia na inafanya kazi chap chap...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakuu nahisi whatsapp haitapatikana tena kwenye windows phone maana naenda sikuvya 3 leo kitu kinanigomea.. Vp kwenu?
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Wakuu kama heading inavyojieleza hapo juu, simu yangu haifungui kabisa internet, naombeni msaada. Cc: Mwl.RTC, Mkwawa, @Njuwa wa mavoko nk.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hahari zenu wanajamvi... Wakuu hiyo simu imekataa kusoma line ghafla...alafu pia huwa inastuck sana..inatumia android version 4.1.2 msaada plz kwa yeyote mwenye idea..
0 Reactions
0 Replies
637 Views
kabla ilikua inafanya kazi vizuri, gafla ikagoma, nimejaribu kufanya settings nimeshindwa, naomba mwenye kujua jinsi ya kufanya settings anisaidie please....
0 Reactions
0 Replies
673 Views
eti tecno phatom A inauwezo mzuri wa kupiga picha ucku na mchana na ikawa kama imepigwa na galaxy au iphone?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
1..Install the basic GO Launcher Pro app (free) on your device 2..On the GO home screen, swipe up to see options. 3..Tap Preferences.Ignore the “Upgrade to prime” box at the top; instead...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Natakujua mtu akinitengezea web profession ukisema na gharama za hosting pembeni
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habary zenu wadau nina external aina ya Transcend 1TB, siwez kuangalia muvy wala kuhamisha, nime format mpka nimechoka kama kuna mtu anaweza nisaidia ...naomben msaada wenu wadau
0 Reactions
2 Replies
739 Views
What transpires when you present young, technologically-savvy people with archaic, seemingly pointless technologies they’ve never seen in their lives? Watch what happens as kids ages 6 and 13 turn...
0 Reactions
0 Replies
894 Views
JAMANI NAOMBENI MSAADA WENU WA DHATI NILITENGENEZA WORD DOCUMENT NA NIKAIWEKEA PASSWORD NA NIMEISAHAU PASSWORD NAOMBENI MSAADA WENU NIFANYAJE NA UKIZINGATIA NI SENSITIVE DOCUMENT OF MINE MWENYE...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
wakuu kama mnavyona hiyo picha hapo inaonyesha kama vile sina internet connection yeyote japo hapo ipo connected kabisa na pia kutokana na hali hiyo imesababisha nashindwa kabisa ku connect...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Natumia dell d610 window 7 kila, ninapojaribu ku download whatsap nashidwa mwenyekuweza kuisaidia na tafadhari nashukuru!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hi Kwa siku kadhaa nimehangaika kutafuta Mobile partner v22 maana v23 sijaipenda kabisa.... Lakini nilizozipata tayari zina brand names za websites husika mfano Huawei USB modem Unlock, Unlock...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Msaada jinsi ya kutoa pattern tecno P5. sikuwa nime create accaunt.
0 Reactions
4 Replies
870 Views
naomba mwenye ujuzi au ufahamu kuhusu ku unlock huawei modem E173, tatizo;nimefanikiwa ku unlock lakini ukiconnect modem ina detect network(Tigo,Vodacom n.k) bt ukiclick button ya connect,network...
0 Reactions
0 Replies
694 Views
Back
Top Bottom