Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Hello guys, Jamani michezo ya kombe la dunia ndo kufunguliwa leo, natamani sana kuishuhudia but nahisi ratiba yangu itanifanya nishindwe kushuhudia mechi nyingi sana. Please kama kuna mtu...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwa yeyote anayeweza toa msaada wa kudonlooad Rock star game free kama GTA 5, 4 anisaidie Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Natumia dish na receiver sasa nimefuta chanel zote bila kujua nisaidieni nizirudishe vipi na wapi? Msaada maana nipo kwa watu hapa wenyewe wakurudi yatakua makubwa
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Sijajua tatizo ni nini, lakini mara baada ya kupiga window 7 previous mashine ilikua na wndw XP, disc D haionekani..! Where have i done wrong? Natanguliza shukurani!
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wakuu salamu, Naomba msaada kama kuna uwezekana wa SKY BOX (uk) kuweza kushika satellite likiwa bongo, Je kuna program yoyote inatakiwa? maana nilikuwa na box yangu sina kazi nayo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Picha tunazopiga kwa digital camera na simu...tuzuhifadhi vipi? simu yaweza kuibiwa au kuharibika computer pia na memory card pia je tuzi hifadhi vipi? online pia haziko safe...unaweza sahau...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
wakuu nina galaxy S5 hapa inatumia T-mobile ya US nauliza kwa yeyote anayeweza anaweza kuUnlock au kama unajua website au software Ya kuUnlock nitumie kwa mitandao ya Tanzania. kama kuna mtu...
0 Reactions
0 Replies
609 Views
Wenye ujuzu na ipad Nina ipad 3 ni unlocked nauliza kama kuna njia ya kutumia android na kupiga cm na kupokea cm bila matatizo.naomba musada wenu please!!!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari Wadau, nina printer HP COLOR LASER MFP1215 INA TATIZO LA TONER YA CIAN, Nimeshajaribu kubadili toner lakini nimejiridhisha tatizo sio toner. Kama wewe ni mtaalam au unamjua mtaalam wa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tesla Model S review (2014 onwards) - MSN Cars UK
0 Reactions
0 Replies
835 Views
Piga kura yako hawa vijana wapate tuzo na hivyo kuipaisha bendera ya Tanzania kimataifa. SMART CODES goes to thenext level with award nomination Smart Codes, a tech startup from Dar-es-Salaam...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Jamani naombeni msaada, nina receiver /decoder ya azam tv, iliacha kuonyesha picha kwenye tv yaani hakuna chochote katika tv hata ile no signal hakuna lakini yenyewe inawaka, mafundi huku nzega...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
hello wadau nimewahi kusikia kuwa kuna uwezekano wa kuifanya zuku tv ikaonyesha channel za azam tv kwa anayefahamu hii kitu anijulishe malipo yapo
0 Reactions
2 Replies
3K Views
chukua link hii hapa fasta http://aa-download.avg.com/filedir/inst/avg_free_x64_all_2014_4592a7484.exe
0 Reactions
0 Replies
987 Views
Kichwa cha habari chahusika. Msaada tafadhali Asanten
0 Reactions
10 Replies
5K Views
naomba ujuzi niweze kutumia IDM bila kulipia
0 Reactions
25 Replies
6K Views
Nataka desk top Ram module DDR 2 ya 2 GB Nahitaji piece 2. Nipo Mwanza mjini. Najuwa kuna wadau mnazo na mnaweza kuniuzia. Adanteni
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Computer forensics is a new and exiting field that is gaining popularity. Because of the complexity and legal boundaries, few truly understand what skills are required to be an effective computer...
1 Reactions
1 Replies
960 Views
Naomba mwenye code za ku unlock nokia 105 ime: 359588056231591 itumie laini zote anisaidie plz.
0 Reactions
0 Replies
588 Views
Back
Top Bottom