Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wakuu Habari? Wanajukwaa,simu yangu imepatwa na hilo tatzo(heading). Kwa kawaida simu yangu nime i set after on month i update Nokia Software. Sasa jana ikanijurisha kuna new SW,nika i...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
wadau kwa mwenye kujua jinsi ya ku_unlock huawei b593 naomba muongozo.
0 Reactions
0 Replies
953 Views
Msaada ku-unlock VODAFONE V875.
0 Reactions
0 Replies
610 Views
Habari zenu nina tatizo la simu yangu ya samsung galaxy dous inakua slow sana na inakua ya moto sana na inajizima yenyewe na wifi pia haifunguki naomba msaada kwenu
0 Reactions
7 Replies
921 Views
Natafuta betri ya lenovo t60
0 Reactions
0 Replies
732 Views
Dogo kaja na simu yake Galaxy s4 inajirestart kila muda mpaka itakapoisha chaji izimike. mie kwa haraka haraka nikaona hapa naiwekea firmware mpya maana factory reset haijasaidia kitu, hapo ndio...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Jaman project yangu imekwama kuprogramm at89c52 help pleasee
0 Reactions
1 Replies
876 Views
Habari wadau, kama kichwa kinavyojieleza nataka kuweka picha ktk profile yangu ya Whatsaap kupitia Bluestacks lakini nashindwa na sioni option inayoniwezesha kufanya hivyo. Napata option ya kuweka...
0 Reactions
7 Replies
7K Views
habari zenu wadau najua mnapita huku sana kwa namna moja ama nyingine. Nyie ndio mano linda nchi yetu na kubeba siri nzito za nchi hii ila kuna swala mmoja la mawasiliano ambalo sidhani kama ni...
5 Reactions
18 Replies
5K Views
habari wanna jukwaa, nimenunua simu mpya ya huawei P6:dukani lakini imenishinda sauti take,yaani nice nyembamba sana kiasi cha kwamba inaniumiza masikio,INA wiki moja kwa anayeitaka ntauza kwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kuna kipeperushi nimekipata kimeandikwa b-pesa ila hakikuwa na details nyingi. Kiliandikwa NOW ACCEPTED MORE THAN 1800 LOCATIONS na kuorodhesha maeneo ambayo machine zao zinatoa huduma. Nimachind...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Natumua simu ya Huawei Y300 inasumbua nikimpigia mtu naweza kuongea nae baada ya muda tunakuwa hatusikilizani siyo mm mwenyewe hata rafiki zangu wanasumbuka naombrni mwenyekuelewa anisaidie
0 Reactions
0 Replies
673 Views
Salamu wana JF. Kwa mwenye kufahamu mbadala wa adobe flash player plug in, anitaarifu tafadhal. Adobe imenichosha kwani inakrash mara kwa mara. Nawasilisha
0 Reactions
7 Replies
835 Views
Ndug Wana Jf Nahitaji Msaada Kwa Anayejua Tatzo Hli Ninatumia Cmu Aina Ya Htc Wakat Nikidownload Wimbo Imejizima Na Haiwaki Tena Naomba Kujua Inasababishwa Na Nin Na Nini Njia Ya Kutatua Tatzo
0 Reactions
1 Replies
618 Views
help plz nina Toshiba satellite model C50-A634 and SERIAL n 1E064207U tatizo ina mwanga mkali sana na nikitaka ku control brightness function zake hazi respond hata kwenye control pannel hazi...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wana JF, Nina decoder ya Ting ya zamani ambayo haitumiki kwa sasa,nauliza kama kuna uwezekano wa utundu wowote wa IT kufanyika kuifungua hizo codes za Ting iwe free kutumika kwa dish za...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Computer yangu sikuitumia muda mrefu sasa nikiiwasha tu inatoa sauti ya mlio kama wa ambulance, halafu kwenye disk door inawaka taa ya rangi nyekuje tatizo ni nini?
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nahitaji Tablet iwe special kwa ajili ya kusomea novels tu. Isiwe kubwa sana, iwe ndogo kama phablet Isiwe nzito Any recomendation?
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Back
Top Bottom