Ninasikitishwa na ulimbukeni wa vijana hasa wa kibongo kutumia fedha nyingi kununua simu za gharama ili mradi eti kufanana na fulani au nae aonekane...unakuta kijana mwingine kapanga chumba hana...
Wadau,salam
Mim sio mjuzi wa mambo ya it na computer ila huwa napenda kujifunza hayo mambo kwa ajili ya kupanua uelewa wangu tu.
Sasa kila nikipitia kuhusu operating system hasa hizi open...
Kwa wale ambao wameona wana haja ya kuanza kurecord video za vitu wanavyofanya kwenye simu a.k.a screen recording basi cha kufanya hakikisha simu yako iko rooted na install software ya svr screen...
KWA ALE WANAOTUMIA OS LINUX KAMA MIMI HAYA TOFAUTISHA KATI YA OS WINDOWS & OS LINUX IPI NI BORA ZAIDI?
Linux Vs Windows-A comparison between the two!
Today, i am going to share a common...
Wadau habari zenu. Ebana mi nashida kwenye simu yangu kwenye maswala ya wireless. Nataka nikonect pc yangu niwe Natumia cm yangu kupata internet connection kwenye pc kwa kutumia wireless ya simu...
habari! wapendwa!
naomba kujuzwa bei ya simu aina hyo (ASHA 303) , Kuna jamaa yangu huko kijijini anataka nimnunulie ila bei sijui, na pia sijua kama ni nzuri kwa internet au lah!
nawaombeni...
huwa najiuliza kwenye kompyuta huwa siinamemory kawaida? Sasa unapofuta vitu permanent huwa kunauwezo wakufanya sijui ndio backup vitu vyako vika rudi.. Sasa hivi vitu unavyovifuta huwa vinaenda...
Mambo vipi?
Kuna Hii site nimekuwa nikiitumia kuwatch Movies online.
Tushee wapenda movies wenzangu..tena unaweza kuangalia mpyaaaaa kina 12yrs, na nyingine hot in holywood.
inaitwa...
Mwanzoni mwa mwezi wa Sita, 2014 niliingia kwenye website ya zoomtanzania.com
Katika tembea tembea zangu, nikakutana na tangazo hili la internship kutoka African Barick Gold. Lilikuwa linasomeka...
Computer and browser slowness are not always malware related. Poor performance and other problems can be the result of disk fragmentation, disk errors, corrupt system files, too many startup...
Wakuu tujionee hapa jinsi ulimwengu unavyokwenda kasi, itafikia mahali badala ya kununua kiat una print na kuvaa, ni noma.
https://www.youtube.com/watch?feature=player_detailpage&v=UCI7BgLrk-4
uBaada ya wadau na wana jf kuusoma uzi ulioletwa hapa juz wa fursa ya ku tuunel.na kufuata utaratibu mzima wa ku PM.ishu inaendelea kama kawa wale ambao wangi wao mlikua mnahitaj mchongo ni ku pm...
Make Your Computer Secure By Updating PTCL Modem Settings - Security Update For PTCL BroadBand Users - Critical - Share it With Friends
In Pakistan a lot of people don't know that there...
Habari za weekend wadau.
nataka kununua tablet kwa online shopping,lakin nakuwa na hofu juu ya baadhi ya sifa za vifaa hivyo ambazo zitaifanya ikifika hapa kwetu(Tanzania) isifanye kazi kama...
msaada jinsi ya kuunganisha emmanuel tv. ...... nina decoder ya azam....but haina hiyo chanel startimes haikamati haya mazingira niliyopo nifanyaje jamani msaada wenu wadau
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.