Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Hivi google isingekuwepo, internet ingekuaje?
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Katika World Cup hii Sony wamesema kuwa watakuwa na moving camera za 4K ambazo zina uwezo mkubwa wa kutoa picha bora zaidi ya Camera za 3D. Kwa wataalamu wa moving camera ni nini sifa za 4K na...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
JF ni kisima cha elimu. Nimewasikia watu wakiongea kuwa kuna kifaa kinafungwa kwenye simu,kinaweza kukupatia taarifa kuhusu simu zinazopigwa,SMS zinazoingia na kutumwa kwa hiyo simu nk. Ni ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa anayejua kuchakachua modem ya tigo Huawei kutumia laini zote,chonde chonde Plz!
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Rooting ni process ambayo inakupa super-user access kwenye device yako: namaanisha inakupa wewe na apps zako ruksa ya kudeal na hardware za simu directly na pia system directories za simu. Kwa...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
wakuu habari zenu nilikuwa nimedownload rss player ktk simu yangu kuna link moja ukiiweka unaangalia drama nyingi sana za kokirea na kichina sasa simu ilikuwa inazingua leo nikafanya factory...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wanajamvi nimeona matangazo ya vodacom katika page yao ya facebook na wameeleza kuwa kuna punguzo kubwa la bidhaa zao ikiwemo smartphone za vodafone maeneo ya leaders club,sasa kwa mdau...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habar wana Tech. Kuna uzi mmoja humu jf kuhusu kuitambua Simu Original za Samsung. Binafsi natumia hizi codes na zikikubali zote huwa naamini ni OG.. hiz hapa.. codes used in original Samsung...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Nina toshiba satellite A200 series, win Vista. inatatizo la kutodetect hard drive. Mara nyingi huzima ghafla,unapoiwasha itaenda hadi kufungua desktop kisha huzimika ghafla. ukiiacha muda mrefu...
0 Reactions
2 Replies
916 Views
Je, ni software gani ya ku-edit audio, yaani uweze kuondoa voice ubaki na instrument pekee,uweze ku-mute instrument fulani.uingize nyingine.Mfano,uweze kuubadilisha muziki fulani uwe tofauti na...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Habari wanajamvi, Nahitaji maelekezo ya kufunga dish la dstv, ninauwezo wa kufunga Azam tv hivyo nikipata maelekezo naamini dstv ntaweza kuipata pia
0 Reactions
12 Replies
18K Views
Wakuu Kuna jamaa anatka kuniuzia Nokia lumia 520 kwa laki mbili je bei hii iko fair??? Hlf nahitaj kujua km inakubali m pesa na tigo pesa ??? Kwani imetoka south Africa bado haija flashiwa
0 Reactions
5 Replies
2K Views
I am looking for technical cofounder, preferably PHP&Web Developer to code and design travel meta search engine (front-end & back-end) for tours and activities. A powerful and easy to use meta...
2 Reactions
6 Replies
938 Views
WADAU naomba msaada hata wa ku ni assist niweze itoa hii iphone 4 kutoka recovery mode. nimejaribu kuiweka katika DFU MODE NIMESHINDWA hata kwa kutumia redsnow,na ukiiwasha inakaa recovery mode...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari zenu wana Jf. Naomba msaada simu yangu wakati wa kuicharge nisipoingiza kwa nguvu na kushikiria haiingii. Naomba msaada nifanyeje. Msaada wenu mhimu sana pia nitashukuru.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wandugu nimetoka Ku install tigo pesa app via android play store. Naona inafanya kazi vyema , na imesolve tatzo la jinsi ya kuaccess account yangu ya tigo pesa ambapo saiv naweza kuipata hata...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Jamani naomba msaada simu yangu nikichomeka usb kwenda kwenye computer haisomi kitu shida ni nini?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau, Heri ya Ramadhan kwenu nyote. Ninapo sign in katika yahoo acoount yangu nakutana na tangazo la kunitaka nibadili password kwani karibuni pamekuwa na majaribio mengi ya kuingia katiak...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
I am going to provide you with lots of ipad, iphone and ipod games hack... You can apply this hack without jailbreaking your idevice.
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Back
Top Bottom