Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
salute wakuu. nimekuwa napata shida ku'download' watsap messenger kwenye simu ya android. kila nikijaribu ni INSUFFICIENT MEMORY. naombeni msaada km nifanyaje?
0 Reactions
3 Replies
887 Views
Habarini Nahitaji msaada nina simu aina ya Google smartphone 748 siwezi kuset camera kwani nikipiga picha inatoa dark na wakati mchana na wakati mwingine inakuwa haionekani picha vizuri kwa mtu...
0 Reactions
19 Replies
6K Views
Simu yangu ni huawei naitaj kufaham code zake km orignal au sio orignal
0 Reactions
5 Replies
709 Views
wapendwa inakuwaje, poleni na majukumu ya kazi,naomba mwenye ujuzi wa kufanya manual setting za internet kwenye simu tajwa hapo juu,yaani haitaki kuwa kwenye 3g,h kila nikifanya setting inakuwa...
0 Reactions
2 Replies
965 Views
Naombeni msaada wa jinsi ya kutumia sim hiyo hapo juu kwa sababu kila nikifungua app yoyote inadai network haiko sawa wakati mi naona setting iko ok,natumia zantel.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Bandugu naomba mwenye kitu inaitwa IMonitor EAM Professional full version anisaidie tafadhali, nina shida nayo saaaaaaaaaaaaaaaana kwa matumizi ya hapa kazini. Natanguliza asante kwani najua...
0 Reactions
1 Replies
979 Views
habari zenu wanajamvi,naombeni activation keys za kaspersky wajameni if u have one.
0 Reactions
0 Replies
656 Views
Mazeya kwa yeyote yule anayejua digitizer(touch screeen ya nokia lumia 900) anijulishe plzzz yangu imecrack lakini kioo kizima chote,kwa anayefahamu zinapouzwa na ni bei gani? Au kama mtu ana...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Natumia blackberry 9800 na mara nyingi najiunga blackberry plan ya 500 kwa siku mbili tatizo nikifungua yahoo mail kwenye opera min inagoma na pia nimejaribu kwenye Lg inayorun android pia imegoma...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Ningependa kujua kuwa simu tajwa hapo juu mpya dukani ni shilingi ngapi? Na vipi kuhusu performance yake.
0 Reactions
0 Replies
800 Views
nimeletewa simu inaitwa at&t .naitaj kufaham km orignal au sio orignal.naombeni mnisaidie kodi zake.yenyewe ni touch screen
0 Reactions
2 Replies
871 Views
Sim yangu inakataa kujistore App ya google play Services Na hivi ndo inavyojiandika angalieni hiyo picha,
0 Reactions
7 Replies
2K Views
samahani jamaa zangu naomba msaada mwenye ufaham kuhusu satellite receiver ya x master 3g min HD je inauwezo wa kufungua channel zilizopo kwenye satellite ya SES4 @22w. natanguliza shukurani.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wataalam nisaidieni simuyangu galaxy s4 haisomi 3G, nimewapigia Vodacom wameniambia nibadilishe network mode kuitoa GSM only niweke WCDMA inagoma kubadilika inang'ang'ania GSM only nime restore...
0 Reactions
4 Replies
851 Views
wakuu msaada nakamuda nimejiunga ila kucheki pm ni jangaa natanguliza shukrani.
0 Reactions
3 Replies
998 Views
Nimezoea kwenye madishi makubwa kwenye channel napata radio ila dstv kwenye audio ndo unashika radio ila sijawahi pata za kitanzania.mweye ufahamu nataman kushika radio za kibongo via dstv...
0 Reactions
0 Replies
803 Views
Wakuu naomba mnijuze kama hili linawezekana, zamani wakati wa analogy nimewahi tumia tv tuner sasa kwenye hii digital kuna uwezekano huo kweli? Natanguliza Shukrani!!
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Nahitaji touch pad ya lumia 520, iwe original na used....0755815174
0 Reactions
0 Replies
638 Views
Habari wakuu; inawezekana kufanya planting kwenye hardcopy ambayo ishafanyiwa scanning na kubadili mwonekano? Msaada tafadhali.
0 Reactions
0 Replies
836 Views
..
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom