wakuu my laptop ipo very slow kwenye kuplay some of the games one of my friends ameniambia probably its due to the ram that am using ambayo ni 1GB so nilikuwa naomba kujuzwa kama kunauwezekano wa...
Naomba msaada kwa wataalamu wa magari ili niweze kujua ni engine gani ya Toyota inafaa hapa
baada ya hii nissan GA 16 ya ulaya kunisumbua sana naomba msaada wenu.
naomba kueleweshwa kutoka kwa wale wataalamu wa mambo ya milipuko. kuna kitu kinaitwa bomb neutralizer ila sijui kama ni kifaa au nacho ni mlipuko. kifaa hiki kinatumiwa kulipua bomu kwa kulifuata...
mediatek watangaza processor mbili mpya mt6595 biglittle 4cortex A17 4cortex A7 na mt6795 true octa core ya 64bit 2.2Ghz
mt6795 ina uwezo wa kurecord full hd video hadi 480fps hivyo kuweza kupata...
Wadau kuna namba ya simu nimekuwa nikipiga kwa muda mrefu sasa najibiwa na sauti ya customer care "Namba imefungiwa".
Nimejiuliza sana hii ina maana gani? Je itakuwa mwenye namba amefanya kosa...
Hoja yako inaonesha kuwa unatakakufahamu jinsi ambavyo mifumo ya computer inafanya kazi. Sitakupamaelezo ya kitaalamu sana lakini nitajitahidi angalau ufahamu hivi vitu vinafanyaje kazi.
Mfumo wa...
Habar JF
Nilikuwa na fungua jf kwenye window mobile Kwa muonekano kama wa kwenye PC lakin siku 1 nika change kwenye wapset pale chini mpaka Leo imegoma na cjaona sehemu ya kurudisha kwenye...
Nina Simu Htc Ryme s510b tatizo lake huwa kuna muda ina goma kabisa kuandika msg au ku search majina japo nikienda uwanja wa msg maandishi yana onekana ku sense lakn upande wa kutokea maandishi...
leo ilikua ni presentation ya nokia kwenye mobile world congress na kama kawaida nokia hawajatuangusha wakatuletea simu 5 za bei rahisi zaidi.
nokia 220
hii itukuwa kama s40 nyengine simu ya...
haha samahanini jamaa......
nimekuwa nikiingia net kupakuwa mizki ya bongo mf wimbo mpya wa mavoko umewekwa kupitia www.mkito.com ambayo unalipia baada ya kupata 10 za bure.
kwa kawaida tulizoea...
Wataalam
Nimejuzwa na wadau leo kwamba simu aina ya Samsung inaweza kuzima au kuwasha Tv aina ya Samsung.
Hata hivyo mdau hakuniambia kama ni Samsung smartphone au aina zote.
Binafsi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.