Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari yetu Wadau. Desktop yangu imekuta haiwaki kwani nilikuwa safarini kwa miezi 3 sasa narudi kila nikiiwasha yawaka katik monitor yaandika PC kunakuwa na mstari na alama ya + na kwachini ya...
0 Reactions
2 Replies
858 Views
Wana jukwaa hebu angalieni hiyo screenshot hapo, hawa Smile network yao ina speed sijapata kuona. Kwa speed hii, hawapaswi kulaumiwa kwa hizo bei zao. This is amazing, downloading a 2gb torrent in...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
naomba kuuliza 3g kuwashwa kwa amri ya nani serikali au watu wa mitandao tunahamu sana ya kupata 3g mlimba kihans kilombero morogoro
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Simu ya s4 verizon kila nikiweka memory card inaniambia sd card is blank nashindwa kujua tatizo ni nini wadugu msaada wenu nahitaji!
0 Reactions
0 Replies
871 Views
Introducing the Ascend P7 Arsenal Edition Arsenal fans deserve a smartphone that reflects the quality of their team. This is why we have created the Ascend P7 Arsenal Edition. One of the...
0 Reactions
1 Replies
755 Views
Nipo Handeni na kwa bahati kuna 3g internet ya tigo,nawapa hongera kwa hili. Kuanzia wiki iliyopita tunapata tatizo kwani ukiweka modem unaonaon full WMCDA lakini uki konect laptop inaondoka WMCDA...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
PPTP & L2TP(IPSEC) VPN Available Now: [ Daily 1 GB Free for this month] TunnelGuru Free PPTP & L2TP(IPSEC) VPN [ Using Windows/Android/IOS/Linux/Mac Inbuilt Client ] 1. Get a free ID from ->...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Naombeni msaada jamani kuhusiana na application inayoweza kunisaidia kujirushia wi fi kutoka kwenye kompyuta yangu kwenda kwenye simu ya android na computer nyingine,nilikuwa natumia connectfy...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Hi simu iliangushwa na wazungu so ikiwashwa inadai uingize i phone email na pasword zake je kuna njia yoyote ya kufanya au ndio pambo tu limebaki
0 Reactions
10 Replies
1K Views
wandugu, nanweza ku bypass watchguard firewall. mwenye utaalam wa hilo naomba msaada tafadhali.
0 Reactions
0 Replies
837 Views
Wakuu yeyote yule mwenye ujuzi wa kuunganisha internet ninayotumia kwenye Laptop ili niweze kuitumia kwenye simu naomba anipe ujuzi huo. Mimi nafahamu kuunganisha internet ya kwenye simu nikatumia...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naomba kuhuliza wapi naweza pata huduma bora za unlimited internet kwa gharama nafuu.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu nimesikia hii kitu inawezekana na Downloading speed inakuwa kubwa lakini kila nikijaribu basi Huwa zote hazifanyi kazi, kwa anayefahamu naomba maelekezo zaidi.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu nashindwa kubadili window kwenye Laptop yng. Naomben mnipe tips za kuchange ii kitu.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
nataka iwe multpurpose Kwa line zote
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Microsoft has unveiled Project Adam, its new artificial intelligence that it claims is 50 times faster than comparable state-of-the-art systems deployed by the likes of Google. Adam can look at an...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nimejaribu kutafuta baadhi ya vitabu kwenye internet lakini nimekwama, je ni electronic libraries zipi manazozifahamu wadau
0 Reactions
4 Replies
906 Views
Wadau nahitaji kujifunza hii lugha, ninachohitaji kwa aliyewahi jifunza anisaidie wapi na mimi nitapata huo ujuzi online ili ni niimaster hii language
0 Reactions
4 Replies
994 Views
Katika upande mwingine leo tutaangalia njia rahisi ya kuficha au ku-lock folder ili lisiweze kufikiwa na watumiaji wa kompyuta yako. Njia hii ni rahisi sana kwani haihitaji kutafuta program ya...
3 Reactions
11 Replies
3K Views
Wadau kama miezi nane iliyopita nimenunua laptop aina ya ACER ASPIRE E1-531 sasa tatizo lake ni aitaki ku install window 8 nimejaribu mara kadha wa kadha kama kwa kutumia USB, DVD na kote inagoma...
0 Reactions
0 Replies
732 Views
Back
Top Bottom