Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Samahanini sana, leo kidogo nipo serious. kuna mwamba amedukua account zangu za fb na insta. amebadilisha email na passeord nilizo sajilia. Mimi nina idea kidogo sana kuhusu hacking. bado...
1 Reactions
11 Replies
937 Views
Sababu za punguzo hilo ni Mdororo wa Uchumi na Ukuaji Mdogo wa Uchumi wa Dunia usioendana na Mapato ya Kampuni hiyo kwa kipindi cha miaka miwili mfululizo. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa...
0 Reactions
3 Replies
998 Views
Kampuni ya OpenAI inayoendesha mfumo wa Akili Bandia (AI) wa 'ChatGPT', inadaiwa kuchukua 'Bila Ridhaa na Kutumia Vibaya' Taarifa Binafsi za Watumiaji Mtandao kwa lengo la kutoa mafunzo katika...
0 Reactions
1 Replies
971 Views
Mambo zenu naomba niende kwenye point Mimi nimekuwa navutiwa Sana kujifunza mambo ya kuwa web developer na mobile application na vitu vingine vyenye tija kwenye biashara nk (Mimi nimesoma hge A...
0 Reactions
3 Replies
346 Views
Habar wakuu Natumaini nyote wazima Wakuu naombeni msaa kwa wataalamu na ujuzi wa computer jana nimetoka kununua modem mpya kabsa lakin nilivofika home niichomeke kwa computer yangu haisomi...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Tuwape hongera Azam Tv kwa kuthubutu kuleta movie yenye mifumo ya Teknolojia kwa mara ya kwanza nchini Tanzania Tena waigizaji wakiwa Watanzania. Azam Tv wakishilikiana na Kampuni ya Power brush...
4 Reactions
34 Replies
5K Views
Habari za muda huu wa JF members, kama kichwa cha habari kinavyojielezea hapo juu kama kuna mtu anaufahamu wa tatizo hilo au naweza pata wapi sehemu wanaohusika na customer care wa vifaa vya sony...
0 Reactions
2 Replies
344 Views
Nikitaka kutengeneza apple id inaleta hivi.msaada tafadhali kwa wajuzi
0 Reactions
28 Replies
2K Views
Hivi inawezekana kujua location ya mtu kwa kutumia namba ya simu? Hili ni swali ambalo nimeulizwa zaidi ya mara 10 mpaka sasa. Jibu ni ndiyo inawezekana kupata location ya simu ya mtu kwa kutumia...
5 Reactions
24 Replies
45K Views
Usichokijua kuhusu marowani ndogo iliyopotea kwenye bahari [emoji3577] Moja kati ya taarifa zilizogonga vichwa vya habari wiki hii ni kupotea kwa manowari ndogo nchini marekani iliyowabeba...
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Wadau nina changamoto kwenye king’amuzi cha azam, bundle likikata nabaki na chanel mbili. Extra azam na Hope chanel. Mwenye uwelewa na hili swala naomba msaada tafadhari.
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Wadau nina bajeti ya 600k Hadi 800k mwisho, nahitaji Samsung inayobamba Sasa hvi huko mjini Darisalama, Ni aina gani ya Samsung. Wadau wa Samsung naomba mukije huku.
1 Reactions
1 Replies
508 Views
Kwa Moderato nawaomba musi unganishe Uzi huu katika Uzi wa kununua au kufanya manunuzi mtandaoni Ndugu zangu wengi tunapenda kufanya manunuzi ya vitu mtandaoni mfano EBay,alibaba na amazon ila je...
6 Reactions
133 Replies
39K Views
Wakuu Samahanin sana iv Bank statment Tunapata vip na inakuwaje?
0 Reactions
2 Replies
291 Views
Kuna Whatsapp inaitwa pink unaijua !! Watumiaji wa WhatsApp mjihadhari Kuna Whatsapp mpya inaitwa Pink WhatsApp ambayo unaweza kuambiwa uipakue kwenye simu yako ni kirusi ? WhatsApp ni...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Imetokea katika kushika Shika simu ukaweka kufuta picha zako pendwa kwa bahati mbaya kupitia simu yako utafanyaje ? Hii ni changamoto ya watu wengi sana wanaotumia simu za smartphone Kuna...
1 Reactions
2 Replies
731 Views
Habari! Mtu anaye juu software ya kuflash simu techno k9 version 7.9
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Kampuni ya Virgin Galactic inayofanya safari za Utalii wa eneo la Juu la Anga (Space), itafanya safari Juni 29 na August 2023. Hadi sasa kuna abiria 800 wamenunua Tiketi kwa Tsh. Milioni 481.8 kwa...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Video zimesambaa zikionesha usafirishaji wa haraka wa Pizza, ambapo mtu aliyevaa Jet Suit, ameonekana akipokea oda kutoka dukani, na kuipeleka kwa wateja huku akipaa ikiwa ni namna ya kuokoa muda...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom