Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Ni ipi simu nzuri zaidi in terms of performance kati ya hizo simu mbili hapo juu. Vipi kuhusu bei?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
nimejarib kutumia torrent naishia kupata warning za adware ni site ya free iko safe ntapata movies au series
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndg kwanza salamu. Niliinstall program ya Folderlock kwenye PC yangu. Sasa katika kujaribu kulock nikalock program baada ya muda kila kitu kwenye PC kikawa shortcut had folderlock yenyewe...
0 Reactions
10 Replies
961 Views
Habari ndugu na jamaa nina iphone 4s tatizo langu ni kwamba hio simu ilifanyiwa jailbreaking na mimi nikai update ios kufikia 7.1 na sasa ikiwaka inataka kuactivate lakini inadai sim not valid...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habarini wakuu?? Nina tatizo kidogo apa, jana nilinunua kingamuzi cha zuku, nikalipa na wakaja mpaka home wakafunga fresh, ila station zikawa hazipatikani wakatuambia baada ya mda zitakuwa hewani...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari za wakati huu, Nisaidieni serial key za AVS VideoRemarker Vr 4.3 Ahsante
0 Reactions
0 Replies
638 Views
Wakuu habari ya jumapili. Nina Colour printer ya ofisi aina ya Konica Bizhub Minolta C 280 Niliisafirisha toka Dar kwa sasa ipo Arusha mjini. Tatizo tangu imefika hapa inakataa kufanya kazi, kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
One of the features that Google's Chrome browser offers that Firefox does not is the browser's built-in translation service. Whenever you visit a website that is published in a language that you...
0 Reactions
1 Replies
941 Views
Kwa aliyewahi kutumia printer kama mada inavyojieleza. Je naweza kujaza wino kwenye cartridge na kuprint bila tatizo? Mwenye uzoefu tafadhali
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Salam wanajamii. nina hp laptop ambayo inachemka sana,nafikiri feni yake imeungua,pia ina tatizo la kuto respond,na kujibonyeza keyboard yenyewe na sometimes kuji lock. Msaada wa kiufundi wa...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari za leo wanajf! Jana nimenunua s4 kwa mtu bado tu ina hali nzuri. Nikaweka laini yangu kisha nika-restore ili nianze kutumia. Nilipoingia playstore ikanielekeza apps za ku-update...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Nilitokwa na jicho nilipopanda ndege kwa mara ya kwanza. Air hostes akatangaza kuwa ikitokea umeme ukakatika ndani ya ndege (utadhani vile TANESCO) basi kuna life jacket, au boya la kuogelea chini...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
nitawezaje kuweka au create post ktk website ambayo nime idesign mwenyewe!!? huwa natumia dreamwave au antenna kudesign websites mbalimbali...sasa nataka kudesign web ambayo itakuwa ni ya news...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
kwenye account yangu ya adsense inaonyesha hivi "Your ads have recently appeared on websites you haven't authorised. To avoid lost revenue, make sure that you authorise any sites where you display...
0 Reactions
1 Replies
686 Views
Google has admitted in an SEC filing that, in a few years, it “could be serving ads and other content on refrigerators, car dashboards, thermostats, glasses, and watches, to name just a few...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Guys i come accross this site and here is the link where you can Calculate all the HUAWEI modem unlocking codes It is working for HUAWEI MODEL SUPPORT : E1550, E155, E156, E156G, E160, E160G...
0 Reactions
4 Replies
7K Views
The American is withdrawing from the Afghanistan, one of their command and control system (used for controlling the pilotless drones) was hijacked by the Talebans when the American transport...
2 Reactions
35 Replies
4K Views
Habari wadau. Natafta tablet 3 10.1 used Bajeti yangu haizidi 550 Iwe na chaja yake plz. Kwa alie na habar anicheki kwa ...
0 Reactions
2 Replies
744 Views
Hi wadau kwa umoja wenu! Nimefanya factory reset kwenye Samsung galaxy note 3; unfortunately data zote zimepotea(of course I was expecting). Kinachonisikitisha zaidi ni kuwa hata logo ya...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
katika pita pita zangu nimekutana na hiyo kitu last week, at the time being nlikuwa sina simu ya kujaribia jana nimejaribu it works kwa all iphone models na ipad + ipod touch, the only backside ni...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom