Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
nimejaribu kupakua movie kasi yao si kubwa sana hawa voda kwa kifurushi cha elfu moja saizi ndio zimefika tano toka asubuhi
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wakuu nina tatizo na hii application, kila niiweka serial number za crack inaniambia ni fake. wiki kama mbili zikizopita niliinstall na kuitumia... Je nitasolve vipi hili tatizo? Kuna application...
0 Reactions
0 Replies
773 Views
nina ofisi ya stationary ambapo huwa natenganeza b-cards na id pamoja na vipeperushi ila nimekwama naomba nisaidiwe serial no.za adobe cs3 master collection,nina set up zake lkn nimekwama hapo na...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
sijui kama nimeeleweka mimi ni mtumiaji wa wordpress.hivi karibuni nimetengeneza website yangu mwenyewe from scratch sasa..napenda nipate code kutoka katika page yangu ya wordpress ambayo itabeba...
0 Reactions
0 Replies
894 Views
Tembele hii link hapo chini; [Guide] Decompile with Apk Tool [Easy Way] - xda-developers Fuata maelekezo vizuri utaweza ku decompile android application ili ujue namna gani zilivyotengenezwa...
0 Reactions
0 Replies
878 Views
Unpaid Item Policy Committing to buying items and not paying for them will eventually have negative effects on your account. We highly advice you to pay for an item once you have...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za saa hii wakuu. Natafuta mtaalamu wa kunisetia dish langu la Dstv. Ukiwa na contact ya mtaalamu pia si vibaya ukituunganisha. Nipo jijini mwanza. Ni-pm kwa mazungumzo zaidi.
0 Reactions
19 Replies
6K Views
Poleni kwa Kazi wana Teck Bila kupoteza muda ,nimekuwa nikisoma baadhi ya topic kuhusiana na kuroot hizi simu za android na nimeamua na mimi niiroot simu yangu. Naomba msaada kwa mtu anayejua...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Msaada jinsi ya ku fix tatizo la network kwenye simu yangu ya samsung galaxy s2,siwezi kupiga,kupokea simu au kutuma sms.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
jaman kama kuna mtu anaweza kunipatia softwere au jina la softwere inayo tumika kukuza ukubwa wa usb flash naomba anitajie asanten wadau
0 Reactions
2 Replies
955 Views
naombeni msaada simu yangu ina uwezo wa instargam lakini nikii download haikubali msaada wakuu
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kampuni ya OnePlus ambayo ina muungano na Cyanogen,watengenezaji maarufu wa Custom ROM's iliyozinduliwa mwaka jana imetoa simu yake ya kwanza ikiwa na specifications kubwa zaidi kwa bei nafuu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Asee naombeni mnifundishe namna ya ku'install windows kwa kutumia flash disk na ku'partition hard disk!. Thanks in advance!. Be Good!
0 Reactions
2 Replies
828 Views
habari wakuu? nataka kununua hiyo simu.naomba mnipe bei yake na uzuri wake.nisije pigwa.nawakilisha
1 Reactions
3 Replies
940 Views
Ujinga mtaji, na na wajinga hua wanaliwa siku zote.. Kwa watumiaji Facebook napenda kutoa somo baadhi ya vitu wasivovifahamu kuhusu Facebok ambavyo inatakiwa kuvijua... 1. Kila picha unayopost...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Jamani nina simu yangu ya Huawei y300 inatumia line moja natamani itumie line zote naomba msaada
0 Reactions
2 Replies
2K Views
mambo vipi wakuu naombeni msaada kwenye sms nikitaka kutuma inaniandikia enter senders name. nimejitahidi kurekebisha lakini sijafanikiwa,mwenye kujua tafadhali anijuze
0 Reactions
0 Replies
828 Views
HEBU WANA JUKWAAA TUSAIDIANE HAPA
0 Reactions
3 Replies
880 Views
Hii ni kwa Windows 8 pekee sijajaribu na version nyingine(sijasema haiwezekani) 1. Run CMD as admin 2. run the following command in order: -netsh wlan set hostednetwork mode=allow -netsh wlan set...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu nahitaji mtu ambaye ni profesional wa kutengeneza mobile app .budget yangu ni 200USD nitafte kwa 0759212578 au 0688148836 naomba kuwasilisha
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom