Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Naomba msaada. Najaribu ku install coreldraw x6 kwenye ubuntu lakini inagoma kama kunamtu anajua anisaidie
0 Reactions
0 Replies
1K Views
msaada watalamu lumia 520 haionyeshi kitu kwenye screen ila inawaka nikipa inaita nimejaribu kureset both hard reset na soft reset imegoma msaada kwa watalamu
0 Reactions
2 Replies
512 Views
Tatizo la umeme Tanzania ishakua ka wimbo wa "maua mazuri yapendeza" Swali langu, ni nini kinachozuia Tanzania isitumie nuclear energy kuendesha shughuli zote zinazohusika na energy? Kuna article...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
O.S-Operating system Laptop yangu inayo O.S ya windows 7, kwa O.S hii peke onawza kutumia O.S nyingine kama ubuntu, windows xp .windows 8 n.k binafsi mi natumia O.S ya kali linux ili uweze...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Yaaan nimejiunga internet bila kikomo ya siku kwa buku nimedownload mb 700 tu, nikatumiwa massage kwamba wanashusha speeed du wezi
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Laptop yangu imegoma kuwaka,nikiwasha inakuwa ina nguruma kama feni inayozunguka kwa mbali but haidisplay kitu chochote kwenye screen. But kabla haija goma kuwaka ilikuwa ikistack baada ya...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wapendwa mwenye license key ya Photomatix Pro 5(64-bit) window version,naomba aniwekee hapa ,nashukuru
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hello Readers, I would like to start by acknowledging the fact that we can't fight against technology, we just have to adopt and make a good use of it. In recent years we have experienced rapid...
0 Reactions
0 Replies
946 Views
kila siku teknologia inazidi kukua.je kuna mahali naweza pata kujua ni teknologia gani zipo juu kwa sasa mf. teknologia ya kufungua baadhi ya apps katika simu kwa kupepesa macho tu.hii ipo ktk...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu habari ya kwenu! nina sim ya huawei Y300 0151, majuzi tuu ilikuwa inafunction vizuri tu gafla Watsup ikawa hairespond, nikauliza wataalam wakanishauri kufanya yafuatayo! Unaweza kutatua...
0 Reactions
0 Replies
788 Views
Microsoft has taken heat every time it tried to end support for Windows XP, but finally almost 13 years after it was released, Microsoft has flipped the switch and stopped delivering system...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari, naombeni msaada jinsi ya kutoa hilo tangazo hapo chini ya screen.
0 Reactions
4 Replies
992 Views
Nilikua naomba msaada wa kimawazo Mimi in kijana nataka kuazisha biashara hapa mtaani kwangu na biashara nayotaka kuanza nayo vifaa vya simu na laptop ila Sana Sana vifaa vya simu Kama unavyo jua...
0 Reactions
0 Replies
764 Views
Wadau leo nimebonyeza *149*44# kwenye laini yangu ya Tigo nikakopeshwa 512MB sasa sielewi ntatakiwa kulipa kiasi gani ili kumaliza deni ! Hili la MB msaada please !
0 Reactions
10 Replies
2K Views
msaada kwa waliowahi kutumia ALIEXPRESS.. nitawezaje ku- Import hii kitu hapa kwenye link.. 3G Tablet PC Phone Call GPS Bluetooth FM WIFI Dual Camera 1024*600 HD-in Tablet PCs from Electronics...
0 Reactions
0 Replies
999 Views
Online marketplace eBay is forcing users to change their passwords after a cyber-attack compromised its systems. The US firm said a database had been hacked between late February and early...
0 Reactions
0 Replies
635 Views
Naombeni mnisaidie jinsi mnavyofanya mfano mtu kapost thread yake halafu mtu anareply lakini maneno ya post ya kwanza yanajitokeza yakiwa na kwe kivuli chenye rangi.Kama bandugu tupeane maujuzi...
0 Reactions
2 Replies
922 Views
Habari zenu wana jf leo nimeandaa beat turtorial hapo.. kwa turtorial nyingine za kitanzania subscribe kwenye channel yangu ya youtube angalia hapa turtorla by wiz cassa...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
FiREFOX 29 GOOGLE CROME
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa kifupi Aina ya Processor (CPU): Intel Toleo: Kutakuwa na matoleo kuanzia i3 hadi i7 OS: Windows 8 Display...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom