Habari wana Jf naomba msaada namna gani ya kupunguza email kwa goggle account nimeambiwa zimejaa nimejaribu kudelete lakinj bado naletewa meseji ya kujaa na kupewa tahadhali yabkutopokea tena...
Niaje wakuuโฆ
Ni hivi, ni rahisi kujifunza syntax za programming language yoyote ila shida kubwa ambayo inawasumbua watu wengi ni namna ya kubadili hizo concept na kuziweka kwenye mfumo...
Hello bosses.
Kwenye technology yoyote ile kwa sasa kuna watu muhimu sana ambao wengi hawawafahamu bali wanaishia kuona maajabu yao tu, watu hao sio wengine bali ni COMPUTER PROGRAMMERS au...
Wakuu naomba kujua app au mfumo wa ku connect smartphone moja kuwa mic na nyingine ichukue video km unafanya interview.
Mfano kwenye picha nime screenshot hapo chini
Wapwa habari ya jion boss mkubwa majizzo amatoa sound zake zinaitwa jizo sound nimesikia zimeanza kuuzwa pale palm village
Je Kwa mliotembelea shop pale vipi Bei yake ipoje na pia sound yake ipo...
๐๐๐ฃ๐๐ก ๐๐ ๐๐ฅ๐จ๐๐จ๐ฆ๐จ ๐ช๐๐ง๐๐๐๐ง๐ ๐๐จ๐จ๐ ๐๐ ๐๐๐ก๐๐๐๐ ๐จ
Dunia na maajabu yake!! ๐
Nchini Japan mwaka 2019 waliweza kupitisha Utafiti kwa kuweza kuwaruhusu Wanasayansi kuweza kuumba Wanadamu.
Mfumo huo...
Kama kawaida hope mko poa
Mimi napenda sana programming na nina baadhi ya projects nimesha zi develop
Za desktop, mobile, na web based systems.
Nimesoma chuo ila nilikua based on...
Habari zenu wakuuโฆ
Naomba Leo tuongee kuhusu mambo haya ya programming, kwa maana watu wengi huwa wanahisi programming ni ngumu na hii yote ni kutokana na kutokujua msingi na dhima ya programming...
Kipindi nilikua napata mda wa kuwa free nilikua nafanya project ya kutengeneza ecommerce application, mpaka sasa naona imekamilika baada test za hapa na pale
https://voxmart.co.tz/
Mimi shabiki sana wa bidhaa za Apple hasa iMac,simu yao ya Kwanza kumiliki ni iPhone 3Gs mwaka 2010,tulikua tunapata changamoto ya kudownload apps ambazo hazipo Appstore kutokana na utundu...
Kwa sababu hiyo app ndio inasababisha simu za iphone zionekane ni mbovu kwa sababu ya kufunguliwa mara kwa mara, kwaajili ya kubadilisha battery unakuta fundi kwa bahati mbaya amekanda mikanda
Na...
Wakuu naomba kw a yoyote alie wahi kutumia poket wifi y halotel unlimited, kwani muda wowote ule nitakwenda kununua naomba ushauri kuhusu speed yake, shukran wakuuu
Wakuu kwema
Nafundisha Programming kwa bei rahisi saana nafundisha language zifuatazo.
1.PHP
2.JAVASCRIPT
3.HTML
4.CSS
5.REACT NATIVE IN DEEP DOWN
6.EXPRESS JS
7.LARAVEL IN DEEP DOWN...
Wataalamu,nilikuwa nauliza inawezekana
kutengeneza mfumo kwa kutumia WordPress kwa ajili ya kuplace order!
Unahizi functionalities!
โข Wafanyakazi wa ofisi wanaweza kuweka maombi(order...
Hope mko poa.
Now days mambo yamekua marahisi sana tuna autosourcing nyingi za kujifunza ila tatizo ni kuchagua Luga sahihi kwa mda sahihi
Sasa leo nataka nikuandike lugha za kujifunza ...
๐ฆ๐ฎ๐๐ฎ๐ฟ๐ถ ๐๐ฎ๐ถ๐ฑ๐ถ ๐๐ฎ ๐ฒ ๐ธ๐๐ผ๐ป๐ฒ๐ธ๐ฎ๐ป๐ฎ ๐น๐ฒ๐ผ ๐๐๐ถ๐ธ๐
Kwenye page ya @picabuzz , katika siku chache zilizopita walifanikiwa kunasa picha nzuri yenye kupendeza wakati wa siku baada ya kuona sayari zote ziliweza...
Wakuu wana Tech
Nilinunua shamba 2019 ekari 12 Sasa kuna wahuni ninaopakana nao naona kila nikienda nakuta wamehamisha mpaka hata nikipanda miti wanangโoa na kuisogeza shamba linazidi kupungua tu...
Salaam,
Nawaza, Je naweza kuungalisha speaker ya JBL Boombox2 kwenye redio ya gari? Lengo ni kuongeza hiyo speaker kwenye idadi ya speaker za gari. Msaada tafadhali.
Baada ya kuona review kadhaa nimeona nifungue account ds. Sasa Code niliotumiwa nikiingiza inasema invalid code. Nimejaibu mara ksdhaa bado imegoma. Baadhi ya system huwa code no ikigoma huwa...