Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Windows 8.1 Update 1 will fix several issues present in Windows 8.1 operating system and will also bring many new features to the operating system such as new power options on Start Screen...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau wa jukwaa hili naomba mnisaidie. Hawa jamaa wa beinsport jana hawakuonyesha baclays priemium league je ndiyo wamekimbia kama wala jamaa wa gsport?
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Habari zenu wana JF, Leo nakuja na njia mbadala ya kutunza vyeti vyetu tumekuwa tukisikia kila siku kwenye radio au kusoma magazetini watu wamepoteza vyeti vyao na ni vyeti muhimu sana katika...
10 Reactions
39 Replies
8K Views
wanajamvi, mimi ni mzoefu wa kurepair radio kwa miaka 5 sasa, lakin kuna kitu ambacho uwa kinanichanganya sana ktk hiz IC tajwa hapo juu, maana jana nilikuwa narekebisha sub woofer nkakuta mchina...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Kuna 'program' yoyote inayoweza kunirudishia photos,notes na folders zangu zilizopotea baada ya kuifanyia computer yangu formating,nimejaribu kuzi-search kupitia kwa windows search bila...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jana usiku nilikua nasikiliza kituko kimoja cha redio hapa nchini nilishangazwa na jambo hili, Spika moja ya kushoto nilipata matangazo ya redio kamakawaida ila Spika ya kulia nilipata matangazo...
0 Reactions
5 Replies
848 Views
wanajf ktk version mpya ya jf nashindwa kabisa kureply au kupost new post.nimekuwa wa kusoma tuuuuuu.!!!!nipeni maujanja jamani
0 Reactions
7 Replies
801 Views
Wana JF naombeni msaada wa vitu gan napaswa kuangalia ninapo nunua laptop ukinitajia na price ntashukuru zaid Natung shukran
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Poleni na shughuli za kulijenga Taifa wanajamiiforum.Naomba kwa anayejua jinsi ya kufungua (kutengeneza) page katika mitandao ya kijamii atuelekeze. Pia nashindwa kuiweka picha hapa jf baada ya...
0 Reactions
0 Replies
746 Views
Waweza tumia hii appl. Kuwa na windows 2 katika pc moja. Hii appl inabeba windo nyenyewe, na ina ram yake yenyewe na unauwewo wa kuonge hhd ktk appl hadi tb. Ukiangalia picha hii itakupa mwongozo
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Natumia Htc hd7 ,windows phone 7.5 je nawezaje kuiapugrage ikatumia windows 8?
0 Reactions
2 Replies
680 Views
Wanajamvi naomba mwenye ufahamu anisaidie,hivi dollar moja ni sawa na sh.ngapi za Tz?
0 Reactions
2 Replies
736 Views
Wanajamvi hivi hakuna uwezekano wa viwanda kuunda tairi za rangi tofautitofauti? Au kuna somo hapa?plz!
0 Reactions
67 Replies
28K Views
Ninatumia Dell D510, niliinunu ikiwa na window Xp nikaipiga windows7 ultimate ikakubali ila ikaanza tabia nikiingiza flash vyote vilivyopo ndani yake vinageuzwa kuwa shotcut nikaamua kuirudia...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Naomba kujulishwa, Nina picha JPG kama 10 nataka nizipeleke ktk mfumo wa video yani nizione km movie ivi, nitumie program gani wakubwa?
0 Reactions
3 Replies
821 Views
wakuu naombeni uzoefu wenu kuhusu simu tajwa hapo juu, nataka kuinunua, kwa anayeifahamu anipe uzoefu wake katika suala zima la chaji, network system na ubora kwa ujumla
0 Reactions
3 Replies
999 Views
Sasa unaweza kuperuzi usiku mzima ukijiunga na bundle zetu za Night Unlimited. Ukiwa na Tsh 450, unapata kifurushi cha Night Surfer 1GB na kwa Tsh 900 unapata kifurushi cha Night Surfer 2GB...
0 Reactions
51 Replies
6K Views
wataalam wa haya mambo naomba ujuzi wenu mimi na wengine tusiojua juu ya hii kitu. shida yangu kubwa nataka nitengeneze website ambayo mtu lazima ajisajili ndipo aingie ndani na kuona mambo...
0 Reactions
13 Replies
18K Views
Nilifungua akaunti yangu ya facebook kwa kutumia namba ya simu .Baada ya kutumia hii akaunti kwa muda nikaangalia profile yangu nikakuta wameniwekea email adrress yao ya ki facebook...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Salaam wana jf wote. Naomba yeyote mwenye Lisense Name na Lisense Code za Bigasoft Total Video Converter anisaidie. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
4 Replies
44K Views
Back
Top Bottom