KUNA MTANDAO NIMEUONA WANAUZA NOKIA LUMIA 1520 KWA 300$, NIMEWAULIZA KWANINI WANAUZA CHEAP WANASEMA KWASABABU WANANUNUA CHEAP.
HUO MTANDAO NI WA CHINA, NATAKA KUJILIPUA NIAGIZE MOJA NIANGALIE...
tafadhali naomba msaada juu ya kutatua tatizo la emaiy yangu ya yahoo nimesahau password ya email na altenate email nayo nimesahau tafadhalini .Natanguliza shukrani
wanajamvi, naombeni msaada kuhusu jinsi ya kuweka version mpya ya android katika sony erickson erickson experia e15i, version iliyopo ni kernel 2.6.29, build number 2.1.1. A.0.6
It's the best first person shooter game on iPhone.it tells a story abt America being attacked by kpr forcess.the graphics are state of the art.you have plenty of weaponry to choose from....
Wakuu naomba msaada kidogo jinsi ya kuupgrade IOS sababu nikitumia Itunes net ikikata kidogo inakula kwangu maana application inaanza upya kabisa hairesume ilipoishia, nisaidieni another process...
Any one interested in getting free app for your iPhone then this the way to go...you can get free movies,games en cool tweaks on your device for absolutely free...but the catch is that it voids...
Ipad ilikuwa na password hawajui jinsi ya kutumia zaidi ya gemu tu.mtoto wa jiran kaja kabonyeza bonyeza password imejilock.pia ilikuwa haina chaji yake wanafoji usb wanachajia deki au...
dah mm ni mgen humu najaribu kuangalia thread zilizopta kutafuta maujanja ila nayapata kwa tabu kwel yan mpaka macho yanauma kwa kuztafuta hzo so kwa anayejisikia kunisaidia tech nzur zozote au...
Mimi nina redio yangu wakati mwingine huwa inalia vibaya lakini nikiishika tu kwa mikono yangu ina sema vizuri nikiacha kuishika inaanza kulia vibaya .Sasa mimi najiuliza inakuwaje .Nikiacha...
Habari za jioni wanajukwaa,laptop yangu aina ya dell inspiron n5040 hivi karibuni imeanza tabia ya kujizima ninapokuwa naitumia.
Huwa kama inataka kustack then inazimika,ikishazima nikijaribu...
jaman wanajamvi, nawaombeni mnisaidie hili suala maana limekuwa gumu kwangu. Mimi nataka kuunganisha nokia asha 300 katika compyuta ili nitumie kama modem na inagoma, ina niandikia failed to...
Nimeupdate whatsapp kwenye tecno inaniandikia " there is a problem parsing the package. Naomba utatuzi ktk hili. Thanks in advance.
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Heshima kwenu wanajamvi!
Nimekuwa nikijaribu kuitafuta hii application kwenye playstore bila mafanikio.
Natumia simu aina ya galaxy note II. Au simu hii haisapoti hiyo huduma, maana nilikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.