Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wadau nina mpango wa kununa hiyo Gari,nimejaribu kuifuatilia kwenye internet inakwenda 12km kwa lita1 na kwa upande wa engine ni VVTi sasa ningependa kujua ubora wa hii gari,utumiaji wake wa...
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Wakuu, naomba anayejua anijuze jamani. Natanguliza shukrani
0 Reactions
1 Replies
4K Views
wadau wa IT na mliowai tumia nokia E6 kama unaweza unga email account za ofisin kwako (za mashirika yetu) .natangukiza shukran
0 Reactions
0 Replies
2K Views
tofaut kat ya internate na network ni zipi?
0 Reactions
5 Replies
988 Views
Naomba msaada kwa anayejua hili, kila nikiweka modem yangu kwenye pc imaniandikia "The sim card has not been detected or is invalid" lakin nikiangalia lini haina tatizo, je itakiwa modem imekufa...
0 Reactions
2 Replies
710 Views
Ki-roho safi, What is the name and type of antivirus that is protecting your system from virus and malware attack? I once used Avira but it was not effective enough. I also once tried Kaspersky...
3 Reactions
46 Replies
4K Views
Members nahitaji mtu mwenye simu double line nibadilishane nae na blackberry 8980 sababu nko na line mbili zote muhimu kuwa hewani tafadhali hyo simu iwe haijatumika zaidi ya miezi miwili yng...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
kwa wale wenyeji wa mji wa kahama, ni fundi yupi ni mzuri katika maswala ya hardware? laptop yangu haitoi sauti. ila nikiconnect headphone inatoa sauti. au kwa yeyote Mwenye suluhisho la tatizo...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Wadau ni muda sasa natafuta izo chanel,kusema kweli nimekwama total,mwenye ujuzi nazo anisaidie tafadhari... Frqnce,simborate dish size,uelekeo na sat yake Kwani nataka nizitumie kwenye dish la...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wataalamu wa jukwaa hili , naomba msaada wenu kuweza kurudisha fail ambalo nimeledelete katika recycle bin Nahitaji fail hili lakini nimejikuta nimelidelete likiwa tayari lipo katika recylcle...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Wadau, eti ni kweli kuwa ubora wa earthroad unaweza kuwa na athari kwenye kiwango cha matumizi ya umeme? naona matumizi yangu ya umeme sio ya kawaida, naweza maliza units 5 kwa 24 hours. Ndio...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
nimekuwa nasikia hapa jukwaan members wakizungumzia ku root simu zao je hii kitu inaumuimu gan?
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Hapa ndio namimi nazichukiaga hizi simu maana ukiandika 2 inakuja 5...lol,kazi kwelikweli
5 Reactions
73 Replies
10K Views
Habari wadau nomba kujuzwa kama kuna mtu ana idea au anajua jinsi ya kuzui kama si kupunguza haya matangazo yanayokuwa yanakuwepo kwenye websites na sometimes yanaharibu muonekano wa website...
0 Reactions
2 Replies
826 Views
Za humu wadau Kuna mdau kanambia Vodacom Tanzania(mtandao wenye kasi ya ajabu(HSPA+) hapa Tanzania kuzidi mitandao mingine kwa makao makuu ya nchi, Dar) Wameanzisha kifurushi ambacho unapata...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Nimejaribu kutengeneza collection ya hizi smilles ambazo pia unaweza kutumia hapa JF,Copy na Paste unapohitaji kuzitumia;Ukipenda collection yangu,usisahau kugonga like mFAno; TV and Movie...
0 Reactions
7 Replies
924 Views
Make content your # 1 focus When it comes to blogging, there are plenty of important factors. Having a unique and professional design, a viable topic, a brandable logo, and clear options for...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Inatatizo la kijizima na kujiwasha ninapoitumia kwenye internate, haifungui phonebook wala sms, mtu akipiga haionyeshi action yoyote ila anasikia inaita. Naomba msaada tafadhali?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ni Nani Aliyesema Dunia Yetu Ni Kubwa? . . . . Look At This . . . Be Patient And Wait As It Expands . . .
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ninayo haja ya kununua mashine ya photocopy pamoja na ya kusafisha passprt size, kwa uzoefu wenu, nishauri aina na bei ya brand huzika. WASALAAM!
0 Reactions
0 Replies
711 Views
Back
Top Bottom