Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
laptop hii ina win 7 na imepoteza resolution na rangi hazionekani vizuri. driver nimecheki zipo. msaada wakuu!
0 Reactions
0 Replies
579 Views
Wasalaam, Tunahitaji mtu/kampuni/taasisi itakayotushauri na ikiwezekana kutufungia "sound muffler" au kifaa kingine chochote kitakachoweza kurekebisha sauti kwenye chumba cha mikutano jijini...
0 Reactions
3 Replies
973 Views
Naona mammbo ya cloud storage yamewashinda hawa jamaa, wenye data huko chukueni tahadhari. Today we are announcing plans to shut down the Ubuntu One file services. This is a tough decision...
0 Reactions
1 Replies
670 Views
Sijui wale wenzangu na mm mtakuwa mmepatwa na Ajari kama mm ila inshort naona kuna v6 nimeona nishare na nyie muendelee kula Utamu wa hivi Kitu kimoja au mtu mmoja aliyeniBORE hapa JF ni mtu...
3 Reactions
52 Replies
6K Views
Moon's Age Revealed, and a Lunar Mystery May Be Solved By by Charles Q. Choi, SPACE.com Contributor 13 hours ago...
0 Reactions
0 Replies
584 Views
Wakuu habari zenu.Leo nimeleta tena jambo ambalo nina tatizo katika kujua upi ni ukweli katika hili ETI KUNA MADHARA YOYOYE YANAYOWEZA KUJITOKEZA KWA UPANDE WA BATTERY? HASA KIUBORA ENDAPO UTAKUWA...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
hii inatokana na introduction ya smartphones ambazo zina operating system(os) yenye built inn softwares zinazoipa uwezo wa kutenda kazi karibu na za compyuta............watengenezaji wa simu...
0 Reactions
22 Replies
6K Views
Kenyan firms top list of Africa’s most innovative Share Bookmark Print Rating Software developers at work at iHub lab, Nairobi. Photo/FILE...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nahitaji kuapload picha yenye ukubwa wa zaidi ya 4MB kwenye server lakini hizi code zinaupload chini ya 512kb msaada tafadhali kwa mwenye uelewa wa php. <?php $sqlw = mysql_query("select status...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kama heading inavyojieleza , Tanx in advance wadau.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu naomba msaada kwa wanaojua extension iliyotumika kwenye site ya chuo Uhasibu Arusha( Welcome to Institute of Accountancy Arusha) ambayo ina blinking red arrow kuonyesha news inayohitaji...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
The best game ever. Naombeni kuuliza kama kuna version nyingine ya hii game imetoka.
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Commentaries from hackers: Hackers and anonymity: some evidence
0 Reactions
0 Replies
717 Views
Nina pc inayotumia window 8. But kila ninapoufungua inawaka yenyewe bila kuiwasha. Naombeni kujua jinsi ya kutatua hili tatizo.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wadau. Ninatumia accer aspire 5250BZ467. Hii laptop ukiwasha inatoa mlio mkali sana, ukiizima Kisha ukiwasha tena baada ya muda ndio inawaka. Vilevile Mara nyingi namba '7' hujiandika...
0 Reactions
2 Replies
869 Views
habari! nawezaje ku-share picha au video toka youtube kwenda whatsapp? msaada tafadhari!
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Hii kitu ni nini na inafanyika vipi? Faida zake ni zipi na hasara zake ni zipi. Kwa wale wataalamu naombeni elimu.
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Wakuu natafuta fundi mzuri wa Lexus RX300 kama yupo jijini Dar es Salaam. Dashboard imewaka ghafla taa za VSC (Vehicle Stability Control) na Check Engine. Nimefanya service Victoria filling...
0 Reactions
2 Replies
766 Views
Kwa mujibu wa Microsoft asilimia kubwa ya benki katika nchi zinazoendelea zinatumia programu ya Windows XP katika kuendesha ATM, hivyo kuwa moja ya waathirika wa mpango huo. KWA UFUPI...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wadau!! Kuna hili swala nimewasikia watu wakisema nyumba inavujisha umeme, ni nini hasa hichi kitu?? Umeme unavujaje maana nimepata maelezo yanayotatanisha!! Wengine wanasema sijui hutokea...
1 Reactions
8 Replies
9K Views
Back
Top Bottom