HABARI WAUNGWANA SAMAHANI SIMU YANGU IMEHARIBIKA CAMERA NA TORCH KILA NIKIFUNGUA INANIANDIKIA (Unfortunately the process com,android.gallely 3g has stopped) NIME RESTORE IMEGOMA NA NIMEFLASH PIA...
Habari zenu Wadau, naomba mnisaidie kupata program ambayo itaniwezesha kuplot cordinates za GPS. Mfano umepima eneo uweze kuona boundaries zake n.k
Asanteni sana
Wakuu habarini za weekend,
Nimenunua modem ya Vodacom e173 nataka kuichakachua kwa matumizi ya mitandao mingine
Nimejaribu kusearch humu JF sijakutana na hii kitu
So please mwenye maujanja...
Wakuu nimeona mahali kuwa kuwa uwezekano wa kutumia whatsapp na viber kwenye laptop kwa kutumia application ya bluestacks. Naomba maujuzi inakuwaje hiyo
KUTOKA VODACOM
Hatimae Vodacom Watuletea Huduma hii kwenye Menu yao ! Yaani *149*01#
Na hii inaweza kuathiri ile ya zamani yaani **62*0754125125# lakini thibitisheni kwanza! Kama haifanyi...
Wakuu salamu
Nnaomba msaada kwa mtu mwenye utaalamu na mambo haya ya hiz smu touch kama kuna madhara yyte yatatokea kwenye simu yangu baada ya kuzama kwenye ndoo ya mafuta ya taaa?nnaona kwasasa...
heshima kwenu wakuu..tafadhari naomba muongozo kwenye hili jamani nahitaji kuzuia baadhi ya site ambazo hazina umuhimu kwa vijana wangu ni application nzuri ambayo ni free au ni njaia gani nzurii..
APR
3
Apple Yatangaza WWDC 2014
Kampuni ya Apple yenye makao makuu yake huko Cupertino imetangaza mkutano wake mkuu wa waandika programu unaojulikana kama World Wide Developers Conference wa...
kwa wale wanaotumia decoder za continental Mkoani Arusha, ili kupata channel fanya yafuatayo.
1. kwanza toa antenna nje kama ilikuwa ndani (kwani tayari wamefanya baadhi ya mabadiliko)
2. nenda...
:israel:Help please am using window seven, i installed it two weeks after my old window collapsed but the problem with this window is that "it fail to downloads updates" is not due to internet...
Habari zenu wakuu!
Jana nikiwa ktk kibanda cha Fundi simu, nilishuhudia simu nyingi mbovu zilizopelekwa pale kwa ajili ya matengenezo, zikiwa na kidoti kidogo cha duara kwenye button namba 5 ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.