Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
huwa najiuliza sana ila sijapata jibu so kwa anayejua anisaidie plz
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kiukweli kwa siku za hivi karibuni nimekua nikisikia sikia hili swala masikioni mwangu kwa sana, sasa naombeni kuuliza mwenzenu kwani android ndio nini? mana naona hata washkaji wenzang wamenunua...
0 Reactions
29 Replies
5K Views
Habari wadau.Naomba software kwa ajili ya kuflash simu yangu nokia 6303c, pia na jinsi ya kuflash. niko vibaya sana nisaidieni.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ninahitaji kujua kama inawezekana kutengeneza email kupitia simu, simu ni tecno 611. Ahsanteni
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wakuu naomba msaada kwa anaejua lipi huenda ni tatizo,maana application ya facebook kwenye s4 yangu inagoma kila nikiinstalll kutoka google play nashindwa kujiunga,baada ya ku login inaandika...
0 Reactions
0 Replies
936 Views
MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA TAARIFA KWA UMMA TAHADHARI DHIDI YA UHALIFU UNAOFANYWA KUTUMIA SIMU ZA MKONONI Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), kwa kuzingatia kifungu 5 (b) na (e) cha...
0 Reactions
3 Replies
722 Views
Ni application gani ambayo ni nzur kwa kudownload video kutoka youtube
0 Reactions
3 Replies
799 Views
ipo fresh kwa anayehitaji anichek nakuletea ulipo kwa wakazi wa Dar. ni internal hdd inafaa kwa hata ku install windows.bei 60,000/= haipungui 0716-844978
0 Reactions
1 Replies
617 Views
kwa sasa niko tbt chang'ombe,pamoja na siasa za bongo lakini kazi na mengineyo yanaendelea,niko mkabala na magorofa ya VETA TABATA CHANG'OMBE NIMEFUNGUA INTERNET KARIBUNI SANA. MD, ICTRONICS
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Saalama wakuu. wanao jua system ya server ccam ambayo inafungua channel za kulipia....Nauza line za server ccam/gbox/newcamd..kwanza nakupa test for 24 hours ukipenda ndio unaweza...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za majukumu wakubwa natatizo kwenye laptop yangu ya hp palivion 15-n001sx nilikua na update driver za bios kwa bahati mbaya laptop ikakata moto kabla haijamaliza kuinstall umeme ulipo...
0 Reactions
3 Replies
796 Views
Jana nimepokea simu yangu galaxy s4 i9500,tatizo kubwa tangu hiyo jana asubuhi nimecheza nayo hadi sasa nimechemka.sijafanikiwa kuunga intenet.nahitaji msaada wenu tafadhali
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Haaaa haaaa haaaa! nianze kwanza kwa kicheko maana hawa jamaa huwa wana maswali sana pindi ikitokea wamelazimika kukikutumia kifaa hicho. ni muhimu sana kwetu kuyafahamu maswali hayo na kuwapatia...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
hello jf memory card yangu ikirushiwa nyimbo zinaingia lakini haziplay nimejaribu ku format kwa komputer napata ujumbe huu windows was unable to complete format .... Nifanyaeje? Kuna program...
0 Reactions
0 Replies
678 Views
ni miezi 18 sasa imepita toka windows phone 8 izinduliwe october 2012 na tangu hii os izinduliwe haikupata update kubwa zaidi ya update ndogo za GDR. leo microsoft kwenye BUILD 2014 wameizindua...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
wana jf naomba ushauri.....kutokana na kukosekana kwa spea za 504 je? ni engine gani ya kijapani inaweza ku fit ktk peugeot 504?
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Nimefuatilia kwa muda mrefu juu ya upatinakanaji wa matangazo ya Aljazeera sport channels hapa Tanzania, lakini nimeshindwa kupata uhakika na ukweli wa namna gani naweza nunua card, na fundi wa...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
wakuu hii kitu inawezekana kwa bongo?......kuna jamaa anahitaji kujua jinsi ya kufanya ili aweze kuunganishwa kwenye calls anazopigiwa mbaya wake....so help if possible
0 Reactions
1 Replies
954 Views
kama kichwa cha habari kinavyojieleza nilikuwa natumia Youwave kwa ajili ya Whatsaap katika laptop yangu lakini sasa inagoma kufunguka, nimejaribu ku unisntall na kisha kuinstal tena bado...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakuu habari za jumamosi, Nime install kaprogram kwa ajili ya analyisis ya data zangu lakini nikijaribu kuirun inaleta message hii hapa "HTTP Error 404.0 - Not FoundThe resource you are looking...
0 Reactions
0 Replies
995 Views
Back
Top Bottom