Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
ndug wanajamii forum nahitaj msaada wa mawazo. Nilinunua laptop aina ya Toshiba tar31.1.2014 na nikapewa Warranty ya 1 year Arusha mjini. Ghafla imekufa spika na mimi kwa sasa nipo Moshi sasa...
0 Reactions
1 Replies
827 Views
Microsoft imeacha rasmi kusapoti Windows XP. Support for the venerable Windows XP operating system ends this Tuesday. It means that there will be no more official security updates and bug...
0 Reactions
1 Replies
796 Views
Habari zenu wana jf ni wapi naweza kufanya large format printing kwa ajili ya mabango nk na kuprint id na business card ktk pvc printing bila kusahau t-shirts kwa mfumo wa heat transfer
0 Reactions
9 Replies
2K Views
naomba kujua jinsi ya kufanya moderm yangu ya airtrl iingie line yoyote
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jamani ninashida na aplication hii mwenye nayo alirushie tafadhari niweze download. Au appl. yoyote Ninayoweza tumia Android ktk PC
0 Reactions
4 Replies
762 Views
habar wana jf....juzi 2 niliibiwa simu yangu aina ya nexus5...cku install anti theft app yoyote..ila nikaambiwa unaweza uka2mia IMEI namba ya simu kumkamata mwizi wako na kuna wa2 wanafanya hizo...
0 Reactions
2 Replies
653 Views
Hili tatizo nimelipata Leo.. nimejaribu ku-google Solution Mbalimbali naona haziendani sana Ila nikiangalia kwenye Accessibility nikienda mpaka kwenye Service nimekuta hii kitu. NO SERVICE...
0 Reactions
0 Replies
917 Views
wakuu nimetumiwa barua nime i download kuifungua imekua issue apps gan inatumika hapa?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa anayejua kuweka hzo animations katika simu yoyote anijuze
0 Reactions
4 Replies
955 Views
jaman naombeni msaada wenu hii sim yngu imeharibika power button(p.button ipo kwa juu) sasa inanisumbua kwel kuiwasha kwhyo kwa anayejua alternative way yake rabda kama kuna code maalum za...
0 Reactions
3 Replies
753 Views
Nimepata kusikia hizi battery ambazo hazitiwi maji zikizeeka au kushindwa kufanya kazi katika gari inawezekana kuzi restore,kuzipa uwezo wa kufanya kazi tena.Huwa zinafunguliwa kwa juu na...
0 Reactions
0 Replies
789 Views
Wadau ni kwamba UD hawana wataalamu wa IT hadi wanatumia email za gmail na yahoo?? Nilishawai kuwatumia office email wakanijibu kwa Gmail nilishangaa sana. Wana IT Fursa hiyo Email Server yao...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Channel mpya ambazo ni Free To Air zimeingia kwenye Satellite ya SES 5 ambayo zuku inatumia, channel hizo ni Africa TV swahili peace TV Go to MENU-->DVBS -->SINGLE SATELLITE SEARCH, then subir...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu nimekwama hapo kwenye installation ya hii kitu.Nilitaka ku-install hotspot clients kama mHotspot au Virtual Router Installer ili niweze kushare my PC's internet kwenda kwenye simu yangu but...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
niliwai kuinstall IDM na muda ukaisha wa trial version. sasa inagoma kupata tena trial version tena et hadi ninunue. hata niki uninstall na kuweka upya inakataa. msaada wataalam, naitaka hiyo tu...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
By Tero Kuittinen on Apr 7, 2014 Three pivotal slides from the epic Samsung-Apple litigation marathon have been picked up by 9to5Mac. The most fascinating among them, titled "Consumers want...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu wa kazi,salama?kuna Sumsung inanitoa ushamba.ni Galaxy Grand imeandikwa Duos,ajabu naona sehemu moja tu ya kuweka line.nipeni ufahamu wadau.Mashikolo mageni!!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wako wapi?
0 Reactions
0 Replies
575 Views
Habari wana jf Nina simu yangu ambayo haitumii laini sasa katika mtandao mpaka nitumie Wi-fi connection katika maeneo husika,sasa nataka niulize hakuna njia nyingine ambayo naweza tumia internet...
0 Reactions
1 Replies
889 Views
Back
Top Bottom