Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
kwa anaye fahamu/kutumia c# naomba anijuze anatumia compiler gani sababu nataka kuanza kuandika program za c#.kwa sasa nimejarbu kuidownload hi microsoft lakini iko protected kwa wanatumia hii...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
H/Disk 500 GB, RAM 2~GB, PROCESSOR DUO BILA KUSAHAU CAMERA Waliopo Moro ndo safi 0712667669
0 Reactions
2 Replies
1K Views
13amp Adaptor GSM Listening DeviceThis hidden voice recorder is housed within a fully functional 3-pin UK-type double adapter plug. Featuring a sophisticated voice activation module, the recording...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
wanajamvi,naomben mnisaidie hasara za toroidal transifoma ,maana nimesuka amplifier ya watt 200, sasa navoconnect signal kwenda katika potentiameter, ndo iyo saut ya muungulumo inatoka katika speaker
0 Reactions
0 Replies
942 Views
Habari zenu wakuu?. Jambo nalotaka kuuliza na kujua toka kwenu wataalamu ni matumizi ya MODEM na PC SUITE by phone on desktop internet connectivity. 6¦1Tofauti ya ubora wa connectivity. 6¦1Swala...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naomba mnisaidie jinsi ya kuunganisha 3G kwenye hii sim muda wote ipo kwenye EDGE kingine nikijiunga kwenye network mbona haioneshi alama ya blackberry kulia kwenye screen nisaidieni wataalam...
0 Reactions
3 Replies
674 Views
heshimna ziwafikie wakuu. hka kasoftware nilika download kwa majaribio tu lakini ni kazuri vibaya sana sasa hv naweza ku restore from the factory simu yangu ikizingua chochote kwani mambo yangu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
habari zenu wadau. ninahitaji msaada wa software nitakayoweza kuzuia CD/DVD from copying. nahitaji nikiBurn CD/DVD iwe kama zile za bongo movie inaonekana kama ni 300GB , na haifai kukopy kwa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Hello, Natafuta water level sensor + indicator inayoniwezesha kujua level ya maji kwenye tanki. Inaweza kuwa midhiri ya ile ya mafuta kwenye gari au hata "digital version" yake. Niko Dar es...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kampuni ya microsoft watengenezaji wa operating system za windows xp,7,8,Vista nk imetangaza kuifunga rasmi OS yake ya Windows XP. Pia imewataka wamiliki wa mabenki hasa Afrika ktk matumizi ya...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
‘Leaked images’ of iPhone 6 released by French website | News.com.au Kwa wale wadau wa ios jiandae sh, $,£ kitu kimeshawekwa hadharani soon kitakuwa mtaani! Kazi ni kwako
0 Reactions
7 Replies
1K Views
washington: US tech giant Apple has filed a patent for new technology that aims to make texting while walking safer by replacing the text background with a live video feed of whatever is in front...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Msaada plz
0 Reactions
22 Replies
8K Views
Wakuu hasa wenye ufahamu, naombeni mnisaidie. Nipo kwenye mchakato wa kutaka kuagiza gari toka japan, nimeyapenda sn magari haya naomba mnishauri je ipi ni nzuri zaidi? Vigezo muhimu ni matumizi...
0 Reactions
25 Replies
18K Views
Tesla Car 'Can Be Unlocked By Hackers' An iPhone app which is used to control the Tesla Model S is vulnerable to 'brute force' hacking attacks, a researcher warns. 11:14am UK, Tuesday 01 April...
1 Reactions
1 Replies
812 Views
Jamani kwa dunia ya sasa ilipo ,kwa sayansi iliyofanikiwa kutoa matokeo mazuri duniani ,MI NIMESHINDWA KUAMINI KAMA NI KWELI NDEGE IMESHINDIKANA KUPATIKANA AU KUNA HILA ZINGINE.......?
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Natafuta sofware kwaajili ya ku flash simu kwa Gpg dragon box. Software ninazo hitaji ni zile zilizo toka mwaka jana kuanzia miezi ya nane na za mwaka huu. V3.29 V3.39 V3.44 v3.33 Nimejaribu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Watengenezaji wa miwani za macho wanahofia kuwa watazamaji wa mwanga unaotoka kwenye vifaa kama simu kuweza kusababisha matatizo ya muda mrefu wam macho. Wanadai kuwa watu wanaotumia simu za...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Natumia tecno p3 sasa nataka kuhamia kwenye p5 je kwa dar ni bei gani au kuna toleo la 5 ambalo ni best zaidi ya p5
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nimeshindwa kabisaa kupata tafsiri ya hii picha kirahisi.
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom