Habari waheshimiwa. laptop yangu ina tendency nikiwasha inaptoa mlio mkali sana badala ya kuwaka, naizima kisha baada ya muda nikiwasha inawaka vizuri. Pia sehem ya kuandika password kuna keys...
The iPhone "iPhone" could not be restored. An unknown errorleo nimekumbwa na tatizo hilo hapo,wakati nikitaka kurestore iphone yangu.
msaada ambaye amewahi kukumbwa tatizo hii.
Kwa Hakika Mungu amewapa Kitu cha Ziada Watu wenye asili ya Jews maana ukijaribu kutazama Waanzilishi wakubwa wa Social Network yote ni Jews People hata asili yao, Jaribu kutazama...
:tape::tape::tape:
The world's No. 1 social network Facebook announced Thursday that it's working to troubleshoot the technical and financial obstacles to bringing the Internet to the rest of...
.
Huawei has confirmed that a dual-OS
smartphone will be available in the US in Q2
2014, running Android and Windows Phone
operating systems.
Huawei's chief marketing officer, Shao Yang
in...
Habari za jioni wanajamvi!
Naomba msaada wa namna ya kurudisha kitufe cha "back" kwenye Monzila Firefox. Kilikuwepo but leo nashangaa sikioni! Nimejaribu kila namna nikakwama!
Tafadhali naomba...
Computer yangu ina tatizo la ku stack. Watu wakasema ni virus. Nikashusha window... baada ya miez 2 ikazingua tena. Nikashusha tena. Ss iv ni miez kama mi3 iv inastack tena. Nifanyeje ili...
Wadau naomba mwenye uelewa juu ya step za kuanzisha na kuendesha kituo cha Redio nchini kwetu antufahamishe hasa kwa kuzingatia yafuatayo;
1. Mtaji
2. Sheria inayo guide
3.Vifaa...
Wadau kwa mara nyingine tena kisimbusi changu qsat q15g kimeacha kusimbua siku ya tatu leo.Kwa sasa naona fta tu:- TBC,EAST AFRICA,ITV,STARTV NA CHANNEL TEN.
Je!kuna mwenye taarifa...
nimepata simu ya galaxs3 ila inadisplay edge mda wote naomben msaada jinsi gan ya ku activate 3g data.. maana simu zingine zilizopo eneo hili zinakamata 3g vizuri tu thanks guys
Jamani wanao miliki zoomtanzania web yenu mme iharibu sana aise imetoka from beaty to ugly Mr Kirk totolucky realy this is the best you did???? Zamani web yenu ilikuwa nzuri sana easy to use and...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.