Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
wakuu email inapokuja hakuna kiashirio chochote kwamba kuna email imekuja nimeangalia setting kwenye email hakuna notification naomba kuelekezwa namna ya kuipata,nokia asha 311,asante
0 Reactions
1 Replies
697 Views
Hv hzo app znahucana na nn hasa
0 Reactions
3 Replies
818 Views
Wadau habari zebu. Jamani mi ni mgeni ulimwengu wa ving'amuzi nimekaribiswa na azam. Tatizo langu ni kwamba, sijapata channel nyingi zaidi ya tatu. Kila channel ninayotaka icheze napata info YOUR...
0 Reactions
0 Replies
923 Views
Ndugu zangu habarini za asubuhi, naomba msaada japo wa mawazo katika hili tatizo langu, cm yangu nokia C3 imekuwa ndio rafiki yangu kipenzi, imekuwa ikinisaidia sana ila furaha yangu imeisha...
0 Reactions
4 Replies
950 Views
natumia laptop dell windows 7 profession ..nimeweka flash ili niamishe data ila cha ajabu programme zote zimebadilika zikawa kwenye FORMAT ya MS WORD.hapa siwezi fanya chochote hata kuinstall...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Hbr, niliwah nunua betri la simu lenye waranty kwa buku 20 bt linawah kuisha mapema, (8hourz). Katika pita pita kuulizia madukani nakutana na yenye chata "discovery", zungusha macho sioni chata...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Natanguliza heshima,naomba mwenye uelewa wa jinsi ya kujailbreak ipad kwa ni nashindwa kuweka applications mbalinbali kila nikijaribu Ina niambie u have to jailbreak it first,hata raha nayo...
0 Reactions
3 Replies
900 Views
Jaman nina cm yng kla muda inakuja message kutoka kwny android system inanambia eti memory yng imejaa ila nikiangalia memory nafac ipo ya kutosha ss cjui tatzo ni nin na nitaltatuaje hlo tatzo
0 Reactions
5 Replies
905 Views
I removed a battery of my Suzuki Grand Vitara and returned it. On return a radio malfunctioned. It does not work. It displays an error "SEC". Please advise. Thanks
0 Reactions
7 Replies
954 Views
I have a Samsung GT 15700 and I normally have no problams with it. But a few days ago i went onto my youtube app and it didnt connect and something came up saying com.google.android.youtube.googl...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu ? Mi natumia kompyuta mpakato tajwa hapo juu. Jana asubuh nilipokua naiwasha ilikuwa inapokea umeme na kuzima,baadae ikapokea na kuwaka ,usiku nikaizima leo asubuh naiwasha inapokea...
0 Reactions
0 Replies
930 Views
nimekuwa nikisiki kutoka kwa watu ambao wanatumia ps3 kwamba flat screen tv is the best kama unatumia ps3. Naomba kwa wale wanaofahamu wanijuze kwa undani juu ya swala hili. Je, kuna tv special...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Wakubwa, Nina Galaxy Note II, imekuja na sim lock ya Verizon. Ku unlock kwa mafundi naambiwa dola 120. Natafuta njia mbadala kama zipo. Hivi je, niki flash simu kwa kutumia custom ROM mpya, sim...
0 Reactions
0 Replies
761 Views
Wakuu asalaam Nina external hard disk yangu size yake ni 1TB aina ni Transcend na ndani ni samsung hdd....tatizo langu ni kuwa leo nimeamka haisomi Mpaka sasa diagnosis nilizoifanyia ni.... 1...
1 Reactions
2 Replies
991 Views
Nimekua nikisumbuliwa na network Ni wiki ya pili sasa kuanzia ktik modem mpaka router. sasa cjajua ni kwangu tu ama kwa wote. mwongozo tafadhar
0 Reactions
2 Replies
913 Views
nini tatizo kubwa linalosababishi simu kuwa slow kufungua applications
0 Reactions
4 Replies
1K Views
kwa wale wapenzi wa football games uwanja ni wenu karibuni sana kwenye uchangiaji wa mada ifuatayo ambayo itawahusu wale ambao wamekuwa wakicheza:- (1)PES (2)FIFA. Kutokana na kucheza na kuwa...
0 Reactions
3 Replies
922 Views
baada ya kuona uhitaji mkubwa wa different serials crack nimewaleteeni list hii wadau! ni zaidi ya PROGRAMS 3000 DOWLOAD AND ENJOY! files zipo zipped kuna attachment ina maelekezo nimeiweka!
0 Reactions
0 Replies
877 Views
Habari wadau...nadhan tunatambua matatzo ya chaji ktk simu zetu za android..mwenye kujua brand namr ya power bank imara naomba anijuze mana zimelua nyingi kweli nowdays had mtu huelewi which is...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Natumia simu aina ya Tecno M3 nilibackup application kutoka kwenye simu kwenda kwenye memory card cha kushangaza haikumaliza kubackup ikazima kuwasha ikawaka ikastack na kuandika TECNO haifunguki...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Back
Top Bottom