Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Nimepoke sms kutoka kwa mdau Munjy1 ambaye ni msambazaji maarufu wa QSAT hapa nchini. Sms inasema hivi: Taarifa zisizo rasmi kutoka China zinasema kuwa kuanzia sasa QSAT zote hazitafanya kazi na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
I am doing a term paper research on the above topic. I will highly value yout contributions,,.
0 Reactions
1 Replies
845 Views
Habari zenu ndugu waungwana?Nimekua kila nikiweka vocha tigo wananitumia ujumbe wakidai je umepata modem ya tigo kama hujapata wahi wahi duka la tigo lililopo jirani nawe ujipatie yako kwa elfu 15...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Heshima yenu wakuu. Laptop ni aina ya DELL INSPIRON na mwanzo ilikuwa inakamata vizuri tu wireless na hii ya kawaida. Lakini hivi sasa haikamati hata baada ya kubadili window kutoka Window 7...
0 Reactions
4 Replies
848 Views
This Is What A Liquid's Triple Point Looks LikeA new video with hundreds of thousands of views is educating those of us who aren't science enthusiasts on a term in thermodynamics. In the clip...
0 Reactions
0 Replies
766 Views
Nimepoke sms kutoka kwa mdau Munjy1 ambaye ni msambazaji maarufu wa QSAT hapa nchini. Sms inasema hivi: Taarifa zisizo rasmi kutoka China zinasema kuwa kuanzia sasa QSAT zote hazitafanya kazi na...
0 Reactions
0 Replies
922 Views
nisaidie
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Inatokea mara nyingi ninapotaka kupiga simu, kutuma msg au kufanya operation nyingine, nakwama na msg inayosomeka '500-internet error, inatokea. Naomba elimu namna ya kutatua tatizi hili
0 Reactions
2 Replies
829 Views
wakuu ni wapi hapa dar naweza pata au kama kuna mtu anacho kioo cha laptop aina ya Toshiba pamoja na housing lake??. maana laptop yangu kuna mstari umejitokeza kuanzia chini mpaka juu upande wa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
wanajamvi, naombeni mnisaidie kuna sumsung galaxy s4 clone, nili ereboot, afu baada ya hapo haiwaki kama mwanzo ,inawaka inaandika citrl afu haipandishi network. Msaada nifanyaje
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Msaada je naweza ku install whatsapp kwenye samsung gt 5620 monte...need ur help plz
0 Reactions
0 Replies
849 Views
habari wanna jf naomba kuliza maswali yafuatayo kuhusu Samsung galaxy s4 1.je? kuna sm inaitwa "Samsung galaxy s4 note" 2.bei ya hiyo sm tajwa hapo juu ni shillings gapi? kama ni mpya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Baada ya kuelimishwa vya kutosha juu ya tofauti ya Ipad na Tablet. Lipi ni chaguo bora kati ya ipad na Tablet ? (Sababu za chaguzi)
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu naomba kujuzwa juu ya hizi simu mbili Nimesoma specs zake nikaona kuwa Tecno p3 anayo RAM ya 500 wakati N3 nyingi ni 300MB Tecno P3 anayo flash na front camera na huyu n3 hana Lkn P3 hana...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Hv hawa viruses ktk hz devices origin yao ni wap
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wana JF?? scour.com ni nini maana naona inaleta shortcuts zisizo na msingi ninapofungua websites. Nawezaje kuondoa hizo link kwenye laptop yangu na huwa inaingiaje?? Wataam nawasilisha
0 Reactions
3 Replies
918 Views
Hlw wanajamvi, naombeni msaada juu ya bei za hizi simu 1. Techno p9 phantom pad mini 2. Techno D9 3. Techno m5 4. Techno m7 5. Techno h5 na 6. Techno s7 Nitashukuru kwa mchango wako utakao...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habarini wanajamvi, Naombeni msaada kuhusu simu yangu aina ya iphone 4s.Kila nikijaribu kuingia internet huwa inajizima na kujiwasha.Yaani toka nimekuwanayo sijawahi ku-access huduma ya...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
wadau naombeni mnisaidie jinsi gani ya kuweza kutumia internet kwa simu hiyo ya samsung coz imenitoa jasho kabisa wadau.nawasilisha
0 Reactions
7 Replies
3K Views
ninahangaika na hizi code tangu mchana, naombeni msaada kwa wataalamu maana kila nikirun hili filel a "processing.php" eti 'webpage not found'.then kuna hii error message '' ( ! ) Notice...
0 Reactions
0 Replies
472 Views
Back
Top Bottom