This tricks will maximize the speed & load time of firefox. And you will be able to surf internet faster.
Type about:config in the address bar, Then look for the following entries (use search...
Hello Sir,
I am here to ask That What is your favorite 3D Game ever you have played Guys....
I love to play the Game GTA Vice City and This is one of mine favorite Game ever Guys.....So Now tell...
habari wadau..
napenda kuwaulza wataalam hivi lenovo i3 yenye specification hapo chini,
nikinunua kwa laki 6 na nusu ntakuwa nimepigwa au ndo bei yake hyo..
processor speed 2.4
HDD...
wakuu PC yangu haikua na tatizo lolote,leo wakati na log in kwa paswrd imenigomea na na kuniandikia "The user Profile service failed the logon.User profile cannot be loaded
Naomba msaada wenu wanaJF
habari wana jamvi,simu ya rafiki yangu imepatwa na tatizo kwamba kila mtu anayempigia anaambiwa namba is bize naomba mwenye kujua tatizo atufahamishe aina ya simu ni tecno p 3.nitashukuru sana kwa...
Kuna mabasi yanafanya safari ndefu sana ambazo nyingine huchukua hata zaidi ya siku moja.
Naomba kuuliza jamani hivi kiutaalamu basi linaweza likafungwa mitambo ya Wi~fi na ikafanya kazi ndani...
Mimi ni mpenzi wa Video gamez, haswa za kucheza kwenye pc
Kwa mweye video gamez km GTA SA, COD MW3 au nyingine yoyote ya Action ambayo ni kali naomba anipatie, ili nipuguze punguze mawazo...
naomba msaada jamani, natumia simu yenye os ya android, imeniletea hayo maneno na toka yamekuja nashndwa kupga simu, kutuma sms wala kupata internet, nifanye nini jamani?
Kila nikijaribu kufungua website ye wizara ya afya, Ministry of Health and Social Welfare haifunguki, nimejaribu kutumia browser ya simu na hata opera mini niliyo-install haifungui. Website...
The NSA's global spy operation may seem unstoppable, but there's at least one target that has proven to be a formidable obstacle: the Chinese communications technology firm Huawei, whose growth...
sim yangu niki play youtube au nikifungua app ya youtube inaniandikia "there is no network right now, please try again later "hivo ndivo inavo andika na nimejaribu kila namna nimeshindwa wakati...
1. Aviate Beta:
Aviate is an intelligent homescreen that simplifies your phone and surfaces information at the moment it's useful. Aviate is in invite-only beta which means you...
Download :: Fences [Stardock]
Windows only: Desktop icon organizer Fences arranges your cluttered desktop icons into containers so you can clean up the mess into useful groups of...
Mtu yeyote anayejua programming anisaidie hili tatizo najaribu kucreate apps za android kwa kutumia html, css & javascript. Kuna file flan inatwa cordova 2.0.0 natakiwa niiattach kwenye hiyo html...
Msaada wadau,simu aina ya samsum galaxy s4 kutoa password nilimpa jamaa yangu kaingiza namba ikajilock amesahau password nifanyeje ili niendelee kutumia simu yangu
Sent from my BlackBerry 8520...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.