Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Helicopter ni ndege inayotumia mbawa zinayozunguka juu (panga) kutengeneza 'lift' ili iweze kunyanyuka kupaa. Kumbuka ndege ya kawaida inategemea kusukumwa na injini kwenda mbele ili mbawa zake...
7 Reactions
14 Replies
3K Views
Naomba mwenye anaweza ku solve hili tatzo anisaidie ndugu zangu nashindwa kuweka fingerprint kabisa kwenye simu yangu [emoji26]redmi 10x pro.
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kampuni hiyo inayomilikiwa na Bilionea Elon Musk imepata kibali cha Mamlaka ya Chakula na Dawa ya Marekani (FDA) kufanya jaribio la kwanza kwa Binadamu baada ya kufanya upandikizaji huo kwa...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
WhatsApp na Telegram sio majina mageni katika ulimwengu wa teknolojia japo WhatsApp alianza kuiona dunia ila [emoji3] dogo telegram naye ayuko nyuma. WhatsApp na Telegram ni moja kati ya app bora...
5 Reactions
14 Replies
3K Views
Habari za muda huu wakuu? Kwa watumiaji wa Home internet (Wi-Fi). Hivi malipo hufanyika kwa mwenendo upi? a) Nilifikiria huenda wana count idadi ya data unazotumia, hivyo unazilipa mwisho wa...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Nashauri laptops za wanafunzi ziwe LENOVO THINKPAD, nje ya hapo mwanafunzi awe ana uwezo wa kifedha, vitu kama matengenezo ama kununua laptops mpya visiwe stress kwake, wale watoto wa kishua...
5 Reactions
13 Replies
2K Views
Kuna blogger mmoja muhindi ni best yangu sana. Ubest wetu ulianzia kule freelancer.com tukawa tunachat mara kwa mara mpaka tumekuwa mabest akaja Tanzania kutembelea Arusha na Kilimanjaro. Jamaa...
19 Reactions
97 Replies
11K Views
Kamisheni ya Umoja wa Ulaya (EU) inayosimamia Ulinzi wa Taarifa Binafsi kutoka Nchini Ireland (DPC) imechukua uamuzi huo baada ya META kukiuka agizo la kutohamisha #Data za watumiaji wa #Facebook...
0 Reactions
1 Replies
726 Views
wakuu kama kichwa japo juu. Naomba msaada wa link au software ya biblia ya kiswahili SUV au Standard Union Version. Natanguliza shukrani.
1 Reactions
15 Replies
1K Views
𝗨𝗻𝗮𝘁𝘂𝗺𝗶𝗮 𝗦𝗮𝗺𝘀𝘂𝗻𝗴 Kama unatumia Samsung Kuna ujumbe wako muhimu sana kwa usalama wa data Zako ? Leo nakufunza jambo muhimu la kufanya ili kuwa salama. Inawezekana umepeleka simu kwa fundi alafu...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
FIRST MISSION - Hold Onto Your Web-Shooters Hii mission ya kwanza inaonyesha spider mpya ambaye ni miles molares akifanya mission yake ya kwanza akishirikiana na spider mwengine ambaye ni PETE...
0 Reactions
0 Replies
525 Views
Wapi naweza kupata apple ipod mpya ya aina hii
0 Reactions
4 Replies
362 Views
Wakuu natumia Optoma 706 Projector, nilikuwa naitumia ikazima ghafla,na haitaki kuwaka.....taa ya standby inawaka, ukiwasha mashine ile taa inawaka na kuzima kama indicator....msaada tafadhali
0 Reactions
5 Replies
474 Views
𝗩𝗶𝘁𝘂 𝘃𝗶𝘁𝗮𝗻𝗼 𝘂𝗻𝗮𝘄𝗲𝘇𝗮 𝗸𝘂𝗳𝘂𝗻𝗴𝘄𝗮 𝗷𝗲𝗹𝗮 𝗗𝘂𝗯𝗮𝗶 Umeshawahi kutembea Dubai ? Dubai ni moja wapo ya jiji la kibiashahara ulimwenguni yenye ushawishi mkubwa sana kwa watu kuja toka Mataifa tofauti tofauti...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
ETHICAL HACKER. ni mjuzi wa masuala ya I.T anae jua jinsi ya kutafuta udhaifu na matobo katika system ambayo ameidhamiria. Yeye anatumia njia na tools zile zile kama anazo tumia Black Hackers...
5 Reactions
15 Replies
2K Views
Kampuni ya kuunda Vifaa vya Kielektroniki ya Dell itawaachisha kazi Wafanyakazi 6,650 sawa na 5% ya Wafanyikazi wote kutokana na mauzo ya Kompyuta kupungua kwa 28% kila mwaka. Dell imeripoti...
1 Reactions
28 Replies
2K Views
Habari za leo wakuu, Kwenye mapambano yangu ya hapa na pale nimehitajika kutumia mashine yangu ya kutolea risiti ambayo bila kutarajia imetoa risiti kwa tarehe ya nyuma ya mauzo Bidhaa...
0 Reactions
4 Replies
904 Views
Achana na hii vita ya magobole inayoendelea (Russia vs Ukraine), huko Marekani kuna wakubwa wawili wanaonyeshana umwamba. Baada ya ChatGPT kutoka toleo la 4, basi akazani tayari amemshinda Bwana...
0 Reactions
6 Replies
982 Views
Naombeni msaada namna ya kujua mtu anayetumia hii namba +255 22 222 1500 maana imekuwa ikinipigia nikiapokea anakata sasa ni miezi miwili. Hadi nimeingia na wasiwasi huyu ni nani na kwanini...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Kwa wapenzi wa programing. Twende sawa kwa framework ya flutter. Any comments and suggestions is allowed, Day one Pic 1 Pic 2 Source code:
2 Reactions
5 Replies
541 Views
Back
Top Bottom