Msaada simu yangu ilikua inataka ni up date whatsapp application nilipojaribu ku up date ikawa inachukua muda mrefu sana mpaa inakataa nilichofanya ni ka unistall ...nikajaribu ku install aitaki...
Nataka niweze kuedit video, picha za kawaida, kutengeneza Magazeti na vitabu
kwa ujumla nataka niwe mahiri katika mambo hayo, nisome Program zipi na wapi?
Mark Zuckerberg
I'm excited to announce that we've agreed to acquire Oculus VR, the leader in virtual reality technology.
Our mission is to make the world more open and connected. For the past...
Wadau naomba msaada wa key za hiyo IDEOS,kuna mtoto aliichezea simu sasa nikiiwasha inadai key za hiyo kitu na nikibofya DISMISS network inakuwa haishiki!
wakuu naomba kuelekezwa jinsi ya kuunganisha wifi internet kuna maneno yananizemgua mfano poor strength signal,wep secured,remembered ,not in range...pia ---- mahali inasoma ila ---- kakufuli kwa...
Habari zenu wakubwa, nimekuwa nikizitafuta sana ps3 lakini nimezikosa, naomba kwa yeyote anayejua zinakopatikana anifahamishe itakuwa vizuri kama ataniambia na gharama yake pia. Ahsanteni sana
i would like to formulate a document with more than one word and more than one sentences and to be stored in the file called Myfile then to write a program by using either c or c++ which can read...
.
!Do you know?-Codebase that is
capable of running the largest
social networking website
Facebook is Hack.
It is hack but it has little to do with
hacking. Hack is a new
programming...
Wanajamii naomba msaada kwani mdogo wangu alipokuwa anatumia laptop yangu amefanya programm zote zionekane kuwa ni microsoft word.Nimejaribu ku restore lakini bado program zote zinafunguka...
Habari!
Ni kweli ndg yangu nahitaji msaada wako.
Baada ya simu yangu kuharibika,Nikanunua Sony Ericson M600i ni nzuri nimeipenda lkn sasa vitu viwili inanikwaza
1.Internet tangu niinunue...
Habari za leo wadau,
Kuna namba inanitumia jumbe za ajabu ajabu na za matusi, sasa nataka niblock hiyo namba.
Kila nikidowload call block inanipa option ya kununua na sijui nanunuaje.
Msaada...
:A S 465:Angalia kutangazwa kwa HTC One mpya moja kwa moja (live) kutoka New York hapa (saa 12 jioni kwa saa za Afrika Mashariki)
HTC Launch | HTC United States au hapa...
Natumia Samsing Galaxy Ace ilikwepo na program ya yutube nikai ondoa nilivyo jaribu kuidownload upya inaniandikia hivi
google play service, which same of your application rel on, is not...
Nina simu aina ya BIRD V280
ilipoteza network ghafla mpaka sasa ukiweka line yoyote inaitambua ila hakuna network hata kidogo!
Yaani simu/sms haziingii wala kutoka,nimejalibu ku restory setting...
12th Class Student Made a Shoe that Charges Mobile While Walking
This is very useful for the place where no electricity available, only by wearing these shoes you can walk and charge your phone...
Wakuu nimekuwa nikisikia kuwa uzuri wa laptop ni kutegemeana na uwezo iliyo nayo, naomba kwa yeyote anayejua laptop nzuri na imara ina qualification zipi? Kwa sababu nahitaji kununua na bado...
NB::: click kwenye jina la application kuelewa zaidi......
Technology is now the essential part of every person, and the applications are developing on the basis of our requirements...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.