Wadau account yangu ya facebook ilifanyiwa madhambi nna uhakika ni jamaa wa Tunisia!
Wakadelete picha na kila kitu cha kwenye account yangu!
.
Sasa sielewi baada ya hapo kama wali ridhika au...
Wadau,
Naomba mwenye uelewa wa hii tablet anisaidie hapa.
Inbuilt memory ta simu ni GB 8 na imejaa nikanunua SD Card ili kuongeza memory but nashindwa kuiset SD card kama default memory kwa apps...
kwenye post ya jinsi ya ku unlock huawei modem E173 kuna step nimekwama nilikuwa naomba msaada kidogo juu ya hii step"Then kisha angalia katika tabs juu na chagua "Select Firmware" Then chagua...
Salaam wakuu, naomba msaada kila nifunguapo Office 2010, kwenye computor zangu 2 zina toa warning bango
kuwa micro soft office is not activated linasumbua sana naomba msaada...
direct link her::Thank you for downloading ImgBurn 2.5.8.0 from FileHorse.com
You can follow the steps as below to complete the burning.
Installation:
Double click the EXE file...
desktop customazation zipo nyingi ila tuzicheck na hizi kwanza wakuuu!!
Fences
Have too much icons and shortcuts on the desktop but too lazy to organize them? That's the most common...
How To Hack & Access Same LAN Computers ?
If you are working in Office / Colleges and want to hack your friends & college mate PC then here is a trick.
First Step press win+ R
Go to Run> Type...
Habari zenu wakuu naomba msaada jinsi gani naweza ku extract (kuitoa) picture iliyowekwa kwenye file la muziki (MP3). Kuna logo moja niliwahi kuitengeneza hapo awali sasa naitaji kuitumia sehemu...
Kuna sim ya jamaa angu huawei ascend y300..mdg wk alikuwa amechezea pattern so imejifunga na sim ime mrequest email address yk na password na mbaya zaidi haikumbuki e-mail wala password...
Nina simu ya samsung GT-C6712. Simu hii kwa upande wa juu kabisa katika simu inaonyesha USB cable ipo connected. Na betri inaonyesha inaingiza chaji. Nimejaribu kufanya factory resert lakini ttzo...
Wadau habari za hapo.? Naomba kusaidiwa kujua laptop iliyokamilika drivers,maana nina laptop mpya,kuna mtu nimempa aniwekee window,anti virus lakini nashindwa kuconnect na wireless internet,sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.