Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
jaman wana jf wenzangu naomba mnisaidie kwa yeyote anayejua application nzuri kwa muvi ktk android au anayejua kuhusu jinsi ya kudownload muvi katika hii application ya "videorder"coz nliifungua...
0 Reactions
30 Replies
9K Views
nahitaj android app ya kuedit music. ie kuchukua tu beat......
0 Reactions
0 Replies
754 Views
Wakuu. Msaada jinsi ya kuweka mobile data.configuration (internet) kwenye Nokia Lumia 520. Msaada pia jinsi ya ku upgrade windows. Jinsi ya kudownload apps.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naomba msaada nimepewa samsung gts 5230 but haisomi laini wala USB kwenye computer BUT UKIWEKA LAINI INAANDIKA "PHONE FREEZE SIM UNAVAILABLE" Nifanyaje wadauuu msaada hapo
0 Reactions
0 Replies
862 Views
Habari zenu ndugu zangu..nimenunua ps2 console slim black yenye uwezo wa ku-play burned dvd games kama zile za kariakoo za buku tano (5000)..je hii ps2 console ina chip yoyote ndani yake au haina...
0 Reactions
5 Replies
910 Views
Ningependa kulimiliki hili ji simu, je kwa yeyote anazielewa anipe experience yake cje nkaingia choo cha kike Samsung Galaxy Mega 6.3 I9200 - Full phone specifications
0 Reactions
1 Replies
947 Views
Install window XP In 10Min.>>Hey Guys Diz Time Extreme Hack That You Will Never Imagine But Its Truth and We have Done It. This Time I will explain How to Install Windows XP In Just 10 minutes.<<...
0 Reactions
0 Replies
628 Views
Hack Windows Admin Today, i am going to show you many aspects of the Windows Password Storage path, Method of Encryption, and breaking into Windows by cracking the admin password. We need...
0 Reactions
0 Replies
947 Views
nimekuwa ni ki-browse kutafuta ufumbuzi, maana hata ile ahuweni ya usiku sasa wana-ilimit, kuna hii moja nimesikia inaitwa IPVanish, naombeni mnipe ushauri kama ina faa hapa tanzania.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Msaada wa kutambua namba hiyo.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Phishing Attacks Here we tells about PHISHING & How can we protect from it.~! >>WHAT IS PHISHING:- The act of sending an e-mail to a user falsely claiming to be an established...
2 Reactions
0 Replies
680 Views
Rejea kichwa cha habari, naomba mwenye ufahamu juu ya tofauti kati ya computer ya 32bit na 64bit, ingawa kwa sasa naona computer nyingi zinakuwa 64bit, je unaweza badili kutoka 64 to 32 bit.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
wadau nimetokea kuvutiwa na hii simu ya htc hasa kuwa RAM yake ni kubwa,kwa walio na uzoefu wa hizi simu zinapatikana kwa bei gan hivi sasa
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Wadau wa jukwaa hili ni matumaini yangu mu wazima. Naomba msaada jamani natumia samsung galaxy s3 mini.ina tatizo la kutoa sauti ndogo sana unapo plug in earphone nilizani Tatizo ni aina ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hellow expert i'm experiencing a problem always when i installed this window tatizo ni kwamba nafanya installation vizuri machine inakuwa poa na huwa na fanya installation ya software ninazo...
0 Reactions
2 Replies
681 Views
Wana JF,naomba kujua kutokana na uzoefu wako binafsi aina ya simu ambayo itakuwa ni ya kasi sana na ina uwezo wa kuangalia Youtube,download n.k. bila shida.Pia yenye uwezo ambayo unaweza ukaandika...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Msaada! Kuna myu anajua codes za mobile anyivirus yoyote. Either avast au Kaspersky.
0 Reactions
5 Replies
799 Views
TAHADHARI! Inasemekana kua leo usiku saa 6:30 hadi 9:30 miale inayoitwa COSMO, itaingia DUNIANI kutoka sayari ya MARS. Hivyo zima simu yako usiku na iweke mbali nawe usilale nayo kwa sababu ni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Polen na majukumu. Nna kitu kinanitatiza. Hivi hizi anti-virus za bure za kwenye simu za Android zina msaada wwte? Hizi android zinaweza kua attacked na virus?
0 Reactions
6 Replies
727 Views
Naomba kujua bei ya nokia asha 230 dual sim na je ile ya laini moja na yaweza kuwa bei gan?
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Back
Top Bottom