Wandugu nadhani mnajua kuwa beIN TV Sports huwa inaonyesha mipira ya premier league. Hii channel nimekuwa nikiiona sana kwenye cable za mikoani na Zanzibar. je naweza kuipata kwa dish na decoder...
Wakuu naomba msaada,nimenunu Idea Tab Lenovo a3000-ambayo ina support 3G na pia ina ingia sim card mbili,naweza kutuma na kupokea messages lakini siwezi kupiga wala kupokea sm...kwa kuongezea tu...
Wana Jf kwa anayefahamu fundi mzuri wa simu za i phone naomba anijuze. Awe hapa zanzibar au dar es salaam. Its urgent kamtambo kamezimika sipo hewani.
Au kama mtanisaidia kupata uzi mmoja...
Tv yangu ina matundu ya Componet/AV in tu.sasa nataka sauti ya kwenye tv niiconnect kwenye hometheater lkn sasa sioni sehemu yenye audio out kwenye tv..na sehemu moja iliyobakia ambalo ni tundu...
Game Developers Conference (GDC) 2014 - 17/3 - 21/3
Kwa wale gamers na wapenzi wa gadgets conference kama hizi na nyingine kama E3, MWC hua si za kukosa angalau kupata dukuduku za kinachoendelea...
Wadau kama kuna mwenye Idea atueleze, nataka kutumia BlueStacks kwenye simu yangu ya android, lengo likiwa kuniwezesha kutumia whatsapp zaidi ya moja kwenye simu. Au kama kuna njia nyingine...
Wakuu jana google walinitumia IP adress ya mtu aliye kuwa anajaribu ku log in kwenye email acount yangu ya Gmail, na IP inaonyesha yuko Dar ila sasa nilitaka kumjua ni nani hasa? IP yenyewe ni hii...
habari waungwana naomba msaada nina laptop yangu inaingia window vista, na 7, je ninaweza kuweka window 8. ram yake ni 1.50 gb maanayake gb 1 na nusu. aina ya pc ni fujistu LifeBook.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.