Scientists have been able to turn an ordinary plant into one that is supercharged by inserting nanomaterials into the energy-producing structures within the plant. The team tripled a plants...
Wakuu habari zenu za jioni nilikuwa nina shida ya kupata mtaalamu wa kutengeneza blog nzuri kabisa nahitaji sana kwanh nataka kufanyia mambo yangu kama yupo anaefahamu kuhusu utaalamu huo...
Wandugu natafuta series ya filamu ya 'SAMANTHA BRIDAL',hii ni ya wakenya ilikuwa inaoneshwa na Star tv mwaka jana(2013).Naomba msaada namna ya kuipata niko Mwanza.
Ni mtoto aliyezaliwa India na akili isiyo ya kawaida hadi kufananishwa na Albert Einstein. Ubongo wake haupotezi chochote na kwa umri huo anajua na kukumbuka mambo mengi ajabu.Elimu yoyote kuanzia...
Habari zenu Wadau,
Natumia machine aina ya DELL Vostro, napata tatizo baada ya ku-login to windows inakaa kwa dk1 tu halafu ina-turnoff display, inaendelea kuwa ON. Nimejaribu kuongeza brightness...
Wadau nisaidieni hili, natumia Tecno S3 ila mara nyingi sipatikani japo simu inaonesha kuwa minara iko juu,kuna mtu aliniambia nikifanya 'Reinstallation' itasaidia,sijajua kama itasaidia. Mawazo...
Tablet yangu haikubali kutuma/kupokea mafaili kwa njia ya
bluetooth pamoja na kuwa uwa imeunganishwa
kwenye kifaa kama Kompyuta au simu ninayotaka kutuma faili!
Ninaomba msaada kwa wajuzi wa...
Habari wadau,nina pc dell(desktop),nikiiwasha inaniletea message,no booting devicena maelezo mengine mengine kama press F1,press F2 etc,nimejaribukubadilisha hard disc lakini tatizo lipo pale...
Wakuu nimehangaika sana kutafuta kwenye mtandao photo ediditing applications for android lakini nilizopata hazina features makini, ni za kawaida mno kama kuweka borders, kubadili rangi na features...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.