Eti ni kivipi mtu anapata hela kama akimiliki website au blog ya vitu kama
Habari
Entertainment
Music
Na mengineyo
Tukichukulia mfano ka michuzi blog
DJ choka
DJ fetty
Na wengine
Ni vipi...
Wana JF Heshima Mbele,naomba muongozo kati ya TV Decoders zilizopo ipi inaongoza na nzuri kwa maana ya programs zane, inaburudisha,kuelemisha,inafundisha na kustarehesha?(TBC-Star Media;Easy...
habari za asubuhi na blue monday wapendwa wanajamvi?
Hope mpo fine. ni hivi mwenzenu yamenikuta na simu tajwa hapo juu ya I9100. jana alasiri ilianza kwa kutoa sauti kama nimeconnect charger...
Je sayansi na techlogia inatoa jibu gani mpaka sasa katika tukio hili.
1. Je ni kweli kuwa hakuna live satelite inayofanya image capture in real time au live video? ( google sattelite, NASA?)...
Habari wana JF TGSF,,
Kichwa cha habari kinahusika. Ninatumia iPhone 4s locked with Vodafone NL( Netherlands), the unlock mechanism ya hii simu nayotumia sio ile ya IMEI unlock bali natumia...
Jamani naomba msaada kwa ambaye anafahamu. Nina simu aina ya HUAWEI na ina uwezo wa kudownload vitu vingi. Shida yangu ni kutaka kufahamu namna ya ya kuangalia ITV na STAR TV live. Sasa nikijaribu...
Wakuu naomba msaada cha kufanya,leo nime-update JF application,lakini imekua nzito sana ku-run,maana inaishia kuandika "connecting to server" then haiendelei,mwazo nimedhani labda ni quality ya...
Wadau nipo nyumbani Mbeya kwa sasa!
Na nnapo kaa pameanza kutoa gesi kabisa na niki chukua kiberiti nikiwasha juu kidogo naona moto mkubwa unapanda juu na baadae unapotea!
.
Hivi hii...
Tatizo la hii simu tajwa hapo juu ni kuzima Zima n sms zinapotea za tangu Jana coz tatizo limeanza leo. Pics pia hazionekani though kwa pc naona everything.
Kama kuna quick help naomba msaada...
Salaam,
Nina USB Flash disk Twinmos 4GB, haikubali ni copy files into it, inasema cannot copy, the disk is write protected. Remove the write protection or use another disc.
OPTION TAKEN...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.