Wakuu,
Naomba msaada juu ya hilo sababu natumia
Huawei U-8650 ila nimekuwa nikipata shida wakati
nikitumia browser ya Opera mini{ama zote
zile za kudownload like Ucbrowser yaani sio
hallisi...
Habari wanaJF!
Kwasasa ninatumia Laptop HP 620 yenye specs zifuatazo; RAM 4GB, PROCESSOR 2.33Ghz dual, HDD 500GB, OS WIN7 32bit.
Nahitaji kubadilisha Window kutoka Win7 kwenda Win8;
Nimejaribu...
wadau jiepusheni na bidhaa za china low quality pc imeandika no keyboard found installed pres f2 to continue .back ground inaonyesha pc hyo ilinunuliwa elfu 48000 tshs
Flash yangu ya HP ya 4GB imebadilisha storage from 4GB to 700MB. Nilimuazima MTU na baadaye akaniletea na kukuta storage capacity ipo 700MB. Mwenye kujua namna ya kusolve hili tatizo anijuze...
Must read
Kama unampango wa kununua tablet iliyobora kwa bajeti yako
Kama wataka kujua kiundani tablet tofauti tofauti
Ungana na GSMARENA hapa: The GSMArena tablet shopping guide...
Wakuu poleni na mihangaiko ya Maisha....... Naombeni Masada wenu Nina Ipad 2 Ina run iOS 7.0.6 naitaji kuinstall cydia bila kujailbreak, mwenye program au mbinu ya kufanya naombeni mnisaidie...
Kama umegundua kuanzia updates ya version 2.11.186 ya whatsapp for android wameongeza option ya privacy ambapo utaweza kuzuia watu kuona last seen, kuona profile picture pia unaweza zuia watu...
Wandugu, msaada wenu unahitajika. Nina kama siku tatu hivi sioni sign out option nikiwa kwenye inbox yangu ya yahoo. Nasign kawaida kuingia lakini nikitaka kutoka nalazimika kuexit kwa kufunga...
If you want to know that your Facebook account has been hacked then follow these steps:
1. Log in to your account then
2. go to settings then
3. There is a security tab click on it then
4. you`ll...
Hivi karibuni kampuni moja iliyopo New York imetangaza kua ina mpango wa kurusha Wi-Fi ya bure kutoka angani kwa kutumia satellite ambapo itaweza kumfikia kila binadamu kokote kule aliko ilimradi...
Wakuu habari
Mimi sio mtaalamu wa Dish wala mambo ya tv
Nilikuwa na DSTV lakini kwa kuwa ni mpenzi na shabiki wa michezo nikashawishika kufunga pia AZAM! Nina kama week moja hivi. Kwa kweli...
Habari wana JF, Natumia laptop yenye window 8. Nashindwa ku-install program aina ya msi na nyingine zenye mfumo wa zip. Nilitaka kuinstall swahili dictionary ya TUKI ndipo nilipo anza kuona hilo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.