Ndugu zangu niliandika hapa kuhusu laptop yangu nloipenda sana kutopitisha charge..baada ya fundi kuifungua na kuichek imegundulika kuwa AC imeungua..na madukani hamna labda kwa mafundi wa comp...
Habari zenuu,
nauliza kama kuna madhara yoyote ya kureset simu mara kwa mara.
simu yangu ina internal space ndogo sasa huwa nina tabia ya kuireset pale itakapokuwa imejaa kwa sababu inakuwa...
Mie mwenzenu nakasirishwa na karibu bloggers wote wa Tanzania.
Hawana mwelekeo wala malengo na inaelekea hawajui nini wanakifanya.
Kwanza blogs nyingi hazina original content! Content nyingi...
Hello,
jaman naomba msaada sim yangu ya Nokia aina ya x-2 ukidownload file la PDF halafu akataka kulifungua naambiwa file not supportive hiv nifanye nini na hili tatizo?
Hi
I am wondering what What functionality should be the most important element for a ERP System. Different people may choose different ERP Sytems, but it is fair to say that there must be some...
1. Ninapoitumia hasa kwenye internet inapata joto sana na charge haikai muda mrefu inazima.
2. Wakati mwingine inaishiwa charge wakati IPO kwenye kuchaji!
3. Tatizo hili limeanza zaidi ya juma...
If you root your Samsung device, then you will be able to
install custom ROMs that are based on newer Android
versions which have more features and more customization
options. Rooting your device...
Habari.
Leo nimependa kushare na nyinyi baadhi ya vitu ambavyo mnunua simu (Especially Smartphones) ni vema akivizingatia ili asijutie maamuzi baadae. Nisipoteze muda, ebu tuanze.
1. Kwanza...
Je unajua kuwa unaweza kuhifadhi mafaili yako mtandaoni? Usiweke documents zako zote kwenye flash disk ama computer kwani vikiharibika ama kuibiwa ndo basi tena. Kuna mitandao mingi inatoa free...
WAKUU MAMBO NIAJE,SAMAHANINI SANA WADAU NAOMBA MSAADA JINSI YA KU CONNECT INTERNET (KUFANYA SETTINGS ZA INTERNET ) KWENYE MTANDAO WA VODA,MAANA SIKU IZI CUSTOMER CARE KUWAPATA IMEKUWA KAMA VILE...
10/03/2013
Galaxy S Kuipiku iPhone?
Samsung ndio kampuni inayoitia tumbo joto Apple katika simu. Ingawa kama simu moja, kuanzia iPhone ya kwanza hadi ya sita yaani iPhone 5, simu hii imekuwa...
habarini na heshima kuu kwa wanajamvi wote,lengo la kuanzisha hii thread ni kuomba msaada kama title ya thread inavyojieleza.
iko hivi,nimebahatika kujikomboa na kununua samsung LED TV INCH...
Za asubuh wakubwa..nina modem ya sasatel ya huawei mobile broadband na nilikua naomba kuna way ya kuiunlock itumie lain nyingine naomba mnisaidie..help will be very much appreciated
Ifuatayo ni moja ya mashindano duniani yanayo-u-shape ulimwengu wa teknolojia. Natamani sana siku moja nione Watanzania wengi wanashiriki kwenye mashindano kama haya, I hope siku moja itakuja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.