Kila niki sign in kwenye gmail yangu akaunti kwa kutumia simu yangu wananiambia ni type maneno ambayo ni magumu kuya type .jamani nifanyaje ili niondoe hili tatizo. kwa sababu ninashindwa kusoma...
Wakuu nimejaribu kuconnect internet kwenye laptop but modem inazingua network inasoma ila nikiconnect inachukua mda mrefu kutoa majibu halafu hainipi majibu chanya tafadhali naombeni msaada
Kila niki update whatsapp kwenye TECNO M3 inadowload mpaka mwisho lakin ikianza Ku install inagoma inaandika application error" 960" naomba msaada jinsi ya kutatua hili tatizo
Moja na features za win7 ni windows Fax. Wadau naomba kujuzwa kama kuna mtu yoyote aliyewahi kutumia hii huduma ya fax kwenye pc yake....na je hizi modem za kawaida za huawei 3G zinaweza kusupport...
Habari wanajamvi!!!.
Nina computer yangu ya Apple aina ya iBook operating system yake imebroak na kwa bahati mbaya sina hata CD yake ya kufanyia installation,Tafadhari kwa Mwenye ujuzi na hili...
25 Ways the Web Has Changed the World
The World Wide Web celebrates its 25th birthday this week, and what an impressive 20-something it is. Tim Berners-Lees invention has changed our day-to-day...
Habari wakuu wa hili Jukwaa,
Naomba kujua Maana halisi ya PING kama inavyotumika kwenye Network haswa INTERNET.
Na Je! kwa nn huwa tuna-PING Network.
Tafadhali mwenye Uelewa kuhusiana na Hili...
Habari zenu wandugu. Shida yangu kuwa. Ikiwa seller kwenye ebay ame refunded money to ur paypal. Inakuaje hapo ukitaka hela yako irudi kwenye a/c yako ya nbc? Au kwenye a/c ya paypal?
WAkuu nimeletewa HDD ambayo imefungwa (encrypted) na aliyeileta haelewi chochote..naombeni msaada je kuna njia yoyote ya kuifungua encrypted hdd bila kutumia password zilizotumika kuifunga? maana...
Nimeikuta hii laptop maeneo ya posta nmeangalia specification zake hasa hii processor yake naona kama inanipa mashaka kidogo,, nisaidieni wakuu specification hiz hapa niambien ninunue au niachane...
Wanajamvi wataalam naomba mnijuze kuhusu hizi sim zetu za kisasa kama iphone 4 zina uwezo mkubwa kuingiza sauti zenye ubora kama aina nyingine za viingiza sauti kama sony voice recorder nk. hii ni...
Msaada wadau natumia samsung note lite shv-e160l lakn toka ninunue texts znaingia bila namba zote na znajisave ktk thread moja named no caller id as if namba hazjasevia.....na siwez kujibu hzo...
Hello, kama Kuna mtaalam wa application development in android platform Naomba anijulishe either kwa PM or anitumie email at jessenmutta@gmail.com, nina tatizo la kuaretrieve data from mysql...
Wapendwa za usiku
Nimegundua sina access na email yangu tena na ni email address ninayotumia kwenye mambo muhimu nimejaribu ku sign in inanijibu email disable naomba msaada
WIMBI LA KUIBIWA PASSWORD ZA FACEBOOK ACCOUNTS NA KUTUMIKA KATIKA UTAPELI LASHIKA KASI, SOMA HAPA USIJE IBIWA!!
Jamani kuweni makini na Accounts zenu za Facebook kwani siku hizi kumeibuka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.